Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

Hayo mafundisho ya mashetani ni yepi?'
 
Ikiwa hivyo ndivyo basi kitabu chenu (Bible) kitakua kina tombesha maneno (kinaji kanganya) Maana kinaanza kukataza Nguruwe asiliwe, Kisha kina ruhusu kila mnyama naaliwe tu. Ndio maana Waislam tuna mashaka na hiyo dini yenu.
Ukishakuwa una dini tofauti na mwenzio basi ujuwe una mashaka na dini ya mwenzio...na ili muende sawa, lazima mmoja ahamie kwa mwingine...
 
Jamani jamani,tuache maskhara kabisa,mtasababisha watu wai WASTGATE JF mimi simo kabisa.
 
HUO MSTARI WA BIBLIA waliandikiwa wayahudi kutokana na ugumu wa mioyo yao..sawa we...? Biblia haisomwi somwi tu na wasabato na waislam.
Nguruwe, kuku, samaki...ni kati ya nyama zenye omega 3 fats ambazo zinapunguza uwezekano wa kupata maradhi ya moyo..ulaya na marekani, japan na china watakwambia...
Alafu, nyama ya ng'ombe(red meat)kwanza ndio inaongoza kwa matatizo ya kiafya kama kansa ya utumbo mkubwa..rift valley fever uneisahau?
Acha kupotosha we kama imani yako imekukataza sawa lakini msitake kujitafutia sababu za kujifariji kutokula nguruwe kwa kuikandia..SISI HATUTAKAA TUACHE, Na imeliwa miaka kedekede kabla hata wehu kama kina muddy hawajaja
 
Ikiwa hivyo ndivyo basi kitabu chenu (Bible) kitakua kina tombesha maneno (kinaji kanganya) Maana kinaanza kukataza Nguruwe asiliwe, Kisha kina ruhusu kila mnyama naaliwe tu. Ndio maana Waislam tuna mashaka na hiyo dini yenu.

Tehe tehe
 
mkuu hiyo lugha uliyotumia sidhani kama ni kiswahili fasaha, utakula ban bure tukumisi jukwaa letu lile.
Achana na kitimoto ndgu, tanu balaaa!
Basi nachukua nafasi kuwaomba radhi washkadau wote nio wakwaza kwa lugha niliyo tumia (kutombesha maneno) naomba muni samehe kwa Kutumia lugha isiyo faa.
 
Wanasema nyama ya mdudu huyu inaleta athari ya kwa wanaume wanashindwa kwenye mambo yetu yaleee
 
Muni samehe kijana wenu nime teleza. Ila hawa wenzetu kitabu chao kina jikanganya sana.
 
Ikiwa hivyo ndivyo basi kitabu chenu (Bible) kitakua kina tombesha maneno (kinaji kanganya) Maana kinaanza kukataza Nguruwe asiliwe, Kisha kina ruhusu kila mnyama naaliwe tu. Ndio maana Waislam tuna mashaka na hiyo dini yenu.
Teh mkuu niependa hapo kwenye ku-tombesha

Huko kujikanganya mnasema ninyi maana nyie mnakariri ila sisi tunaelewa, hapo ndipo tofauti yetu na ninyi...
 
Binadamu wanapenda kujifanya wanajua zaidi ya Mungu.Maandiko yapo clear kabisa lakini bado hawataki. Jiandaeni kumjibu Muumba.
 
Wanasema nyama ya mdudu huyu inaleta athari ya kwa wanaume wanashindwa kwenye mambo yetu yaleee

Mi naikulaje jombaa,, alafu natupiaje? Mkeo akijichanganya tu..ujue umeachwa
 
Teh mkuu niependa hapo kwenye ku-tombesha

Huko kujikanganya mnasema ninyi maana nyie mnakariri ila sisi tunaelewa, hapo ndipo tofauti yetu na ninyi...
Oooh!! Mkuu hiyo lugha hapa sio mahali pake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…