Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

Kha! Wavaa ninja wanapenda mchezo huo pia? Astaghafrahi
watu wanakazani kitimoto ni dhambui kharam laanantulah lakini kulawiti vitoto vidogo hapana dhambi hapo kuua hawakemei wanabaki kusema tu kitimoto kitimoto hivi kweli kula kitimoto au kulawiti mtoto wakiume tena mdogo unayemfundisha dini ipi ni dhambi wandugu!
 
Nina swali kwako mkuu! Huu walaka wa Paul kwa Timothy ulikua na maana gani na kwanini Paul aliandika hivo? Tukishajua nini kilijiri wakati ule mpaks Paul akaandika hivo basi uhalali wa kula vyakula tu kama ulivoyaandika hayo mafungu haupo!

Ata Mimi nilitaka huyu Mkuu Eiyer atusaidie huyu Timotheo alikua nani na kwanini aliandikiwa huo walaka Na Paul na kulikua na nini na sheria zipi kwa wakati ule na jee kwa neno hilo kuna uhalali wa kula vyote? Mkuu Eiyer nakuomba majibu!
 
[h=2]
icon1.png
Re: Athari ya nyama ya KITIMOTO kiimani na kiafya[/h]

quote_icon.png
By Kitoabu

Ikiwa hivyo ndivyo basi kitabu chenu (Bible) kitakua kina tombesha maneno (kinaji kanganya) Maana kinaanza kukataza Nguruwe asiliwe, Kisha kina ruhusu kila mnyama naaliwe tu. Ndio maana Waislam tuna mashaka na hiyo dini yenu.

Jiulize biblia ilikuwa ya nani kwaajili ya nini? Hata hiyo kuruwani ilikuwa na madhumni gani kuletwa huku? Kwani babu na bibi zetu waliokufa kabla ya vitabu hivi hawatapata uzima wa milele? Wale watu walikula hadi kitimoto poli sasa hivi tunafuga wenyewe mnalalamika yaani viko karibu na mafiga na kisu cha KUCHINJIA mnalalamika. Go to hell all colonized mind.
Mkuu Bible ilikua ni maneno ya mungu makhsusi kwa zile kibila 12 za wana wa Israeli. Ikiwa wewe ni Mnyakyusa, Mchaga, Mhaya au Mhehe kaa ukijua Bible haikuhusu.Qur-an inajipambanua ni yaulimwengu mzima niubishi wako tu kuikataa. Kuhusu Mababu zetu kula Nguruwe sina uhakika kama walikula au la, Nakama walikula mungu anaweza kuwasameh kwani walikua hawajui walitendalo kwani kipindi hicho neno lilikua halija wafikia.
 
Samahani hizi Kabila 12 na waarabu wamo ndani au? Ni kitabu gani katika hivi kilichotangulia?
 
Kwani kwenye Bible kuna andiko linalo sema Yesu ni Mungu? (Ukionyesha naomba mods wanipe Ban ya mwezi mzima)
KITOAMU, mbona unazidisha maswali? yako maswali matatu yote hujajibu umeongeza swali jingine mada tutaiacha mbali. sasa nikikupa hiyo mistari (sio mstari) ukafungiwa na Mods majibu nitapata wapi!!. mimi nimesema wazi siijui kuruani huwa naona michoro na wewe rafiki yangu huijui Biblia using'ang'ane tu hutaelewa utazusha maswali mengi harafu tutapoteza muda mwingi bure!!!
 
Huyu mleta mada anataka kutuaminisha kuwa nguruwe huliwa mbichi. Kama samaki, kuku, ngombe . mbuzi , ngamia etc wangekuwa wanaliwa wabichi sijui ingekuwaje. Wewe kama huli kitimoto unakulaga nini? Maana hamna nyama bora kuliko hiyo. Nahisi utakuwa na afya mbofu mbofu
 
da hapana chezea kitimoto rost tena tena hakuna nyama tamu ya kitimoto kama kanguruwe kakiwa kadogo, da mimi ndo uwa nakula kila siku basi wacha tu hao wadudu waingie maadam hawapunguzi kinga. na leo tena na bia 3 za bardiiiiiiiiiiii. safiii.
 
watu wanakazani kitimoto ni dhambui kharam laanantulah lakini kulawiti vitoto vidogo hapana dhambi hapo kuua hawakemei wanabaki kusema tu kitimoto kitimoto hivi kweli kula kitimoto au kulawiti mtoto wakiume tena mdogo unayemfundisha dini ipi ni dhambi wandugu!

Wavaa suruali fupi fupi ndo zao kuwashikisha ukuta watoto wadogo
 
Teh teh teh!Eti wachina wanaongoza kwa idadi!We unadhani siku hizi unahitaji dushe la nguvu kupata mtoto!Au hujaskia kuwa kuna watoto wa makopo! Unaenda kujinunulia tu! Mchina muhindi mjaluo chaguo lako!Kitimoto pia ni sababu kubwa ya saratani ya tumbo na kwa ushahidi zaid ingia hapa kama umekwenda shule lkn!pork | NutritionFacts.orgWacha kitimoto wewe kijana usije nyanganywa mke!Shauti yako.
Mwenzio muanzisha uzi kaweka kinazi kutokana na mhemko wa imani yake! Na wewe unaleta yale yale! Hakuna ayat hata moja inayo haramisha nguruwe bro! Kama ipo iweke tukufundishe usichoelewa! Chaumbile Mulungu ni cha Kumemena! Kisayansi ndio kabisa mmebugi! Walaji nguruwe wazuri ambao hawaachi kitu ni Wachina, na ndio wenye life span kubwa humu duniani! nenda kagogle uone! Kwa ushauri tu fuga ngururuwe kiuchumi na kiafya badala ya kufuga ndevu!
 
.................Wewe una scientific proof yoyote ya hao samaki wa kwenye mabwawa uliokuwa unajifunzia kama "specimen" zako huko chuo cha uvuvi kuwa nao wanaambukiza minyoo?.......

Hofstede kwa mtizamo huu sikuwezi. I am educating wrong person at a wrong time!. All the best na thread yako

Yeye anaamini kwamba umesomea chuo cha uvuvi Bagamoyo. Na umejifunza kwenye mabwawa ya chuoni kwenu mliposomea. Halafu ni diploma. Ubinadamu kazi. Inamaana hata mimi nikisema nimesomea Wildlife ni Mweka peke yake tu? Mwambie siku hizi kuna degree vilevile na asiishie kukariri tu.
 
Jamani mbona naona kuna kampeni za chini chini kuipiga vita hii chakula ya taifa? Kwa wale ambao inawapa shida kwanini wasijiuzulu tu tubaki wachache? Kama mtu kapata tumor alaumu tu bahati yake ila noah imeleta heshima sana kwenye afya za watu....
 
Nguruwe ninajsi haifai hata kuitajataja.bin adam ni kiburi tu lakini mola alishaikataza
 
Nina swali kwako mkuu! Huu walaka wa Paul kwa Timothy ulikua na maana gani na kwanini Paul aliandika hivo? Tukishajua nini kilijiri wakati ule mpaks Paul akaandika hivo basi uhalali wa kula vyakula tu kama ulivoyaandika hayo mafungu haupo!

Hivi wewe unajua kusoma?
Huoni hapo Paulo alikuwa anaandika mambo haya kuhusiana na nyakati zilizokuwa mbele yake na sio alizokuwa anaishi?
Yaani alikuwa anazungumzia future!
 
Mkuu Eiyer naomba fafanuzi ya neno Lako hili!

Kila kitu mnataka ufafanuzi utadhani nyie hamna ubongo
Ndio maana mnapotezwa na wanaojiita walimu wa dini!

Soma kila kitu kiko hapo!
 
Back
Top Bottom