Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila kitu mnataka ufafanuzi utadhani nyie hamna ubongo
Ndio maana mnapotezwa na wanaojiita walimu wa dini!
Soma kila kitu kiko hapo!
Hivi wewe unajua kusoma?
Huoni hapo Paulo alikuwa anaandika mambo haya kuhusiana na nyakati zilizokuwa mbele yake na sio alizokuwa anaishi?
Yaani alikuwa anazungumzia future!
Rosemary Alvarez alijikuta akiwa na maumivu ya kichwa na mkono kukosa nguvu. baada ya kufanyiwa scanning ikaoneka kama ni "brain tumor", pindi alipofanyiwa upasuaji alikutwa na "mnyoo (taenia solium)" akiwa hai unakula brain yake. Chanzo hasa cha mnyoo huo ni kula nyama ya nguruwe ambayo kitaalamu anaprotein nyingi kuliko mnyama yoyote na hivyo kuvutia parasite wengi kwa mnyama huyu . Je ni watanzania wangapi wanapata uangalizi wa kugundua afya zao na wanakula nyama hii kila siku tena inayofugwa katika mazingira si salama?. soma zaidi kwenye link hii hapa chini
Source : ABC News: It's Not a Tumor, It's a Brain Worm
Angalia hapa Mchina huyu pia akitolewa minyoo mingi usoni ambayo pia ilisababishwa na utamaduni wa kula nyama ya nguruwe:
Je wewe ni mpenzi wa kitimoto?, fikiria tena.
hujanishawishi, kuna dawa ya fungus za miguu zinatibu ukimwi! umesikia?Nakuhakilkishia mkuu. gonga kitimoto uikimbie ngoma.
Jumapili hii kuna mzee anaangusha nguruwe wawili pale Kivule, nimeshaweka oda ya kilo tatu
Kivule ipi? Kilo 2 tafadhali aniwekee... kuna nyama lakini hii ya huyu kiumbe ni next to delicious...
Basi hapo tutumie sheria ya mzee Mwinyi "Anayetaka kula nyoka ruksa....."Qur-an ina weka wazi kua, tusile mzoga, Nguruwe na mnyama alie chinjwa na mtu asie Muislam.
Kisamvu? kisamvu cha kopo? mbona sikijui hicho! kinauzwa supermarket au dukani kwa mangi? Tuagizie tukanunue nasi tuonje kikoje!