watu wanakazani kitimoto ni dhambui kharam laanantulah lakini kulawiti vitoto vidogo hapana dhambi hapo kuua hawakemei wanabaki kusema tu kitimoto kitimoto hivi kweli kula kitimoto au kulawiti mtoto wakiume tena mdogo unayemfundisha dini ipi ni dhambi wandugu!Kha! Wavaa ninja wanapenda mchezo huo pia? Astaghafrahi
Nina swali kwako mkuu! Huu walaka wa Paul kwa Timothy ulikua na maana gani na kwanini Paul aliandika hivo? Tukishajua nini kilijiri wakati ule mpaks Paul akaandika hivo basi uhalali wa kula vyakula tu kama ulivoyaandika hayo mafungu haupo!
Mkuu Bible ilikua ni maneno ya mungu makhsusi kwa zile kibila 12 za wana wa Israeli. Ikiwa wewe ni Mnyakyusa, Mchaga, Mhaya au Mhehe kaa ukijua Bible haikuhusu.Qur-an inajipambanua ni yaulimwengu mzima niubishi wako tu kuikataa. Kuhusu Mababu zetu kula Nguruwe sina uhakika kama walikula au la, Nakama walikula mungu anaweza kuwasameh kwani walikua hawajui walitendalo kwani kipindi hicho neno lilikua halija wafikia.[h=2]Re: Athari ya nyama ya KITIMOTO kiimani na kiafya[/h]
Ikiwa hivyo ndivyo basi kitabu chenu (Bible) kitakua kina tombesha maneno (kinaji kanganya) Maana kinaanza kukataza Nguruwe asiliwe, Kisha kina ruhusu kila mnyama naaliwe tu. Ndio maana Waislam tuna mashaka na hiyo dini yenu.
Jiulize biblia ilikuwa ya nani kwaajili ya nini? Hata hiyo kuruwani ilikuwa na madhumni gani kuletwa huku? Kwani babu na bibi zetu waliokufa kabla ya vitabu hivi hawatapata uzima wa milele? Wale watu walikula hadi kitimoto poli sasa hivi tunafuga wenyewe mnalalamika yaani viko karibu na mafiga na kisu cha KUCHINJIA mnalalamika. Go to hell all colonized mind.
Mkuu Bible ilikua ni maneno ya mungu makhsusi kwa zile kibila 12 za wana wa Israeli. Ikiwa wewe ni Mnyakyusa, Mchaga, Mhaya au Mhehe kaa ukijua Bible haikuhusu.Qur-an inajipambanua ni yaulimwengu mzima niubishi wako tu kuikataa. Kuhusu Mababu zetu kula Nguruwe sina uhakika kama walikula au la, Nakama walikula mungu anaweza kuwasameh kwani walikua hawajui walitendalo kwani kipindi hicho neno lilikua halija wafikia.
KITOAMU, mbona unazidisha maswali? yako maswali matatu yote hujajibu umeongeza swali jingine mada tutaiacha mbali. sasa nikikupa hiyo mistari (sio mstari) ukafungiwa na Mods majibu nitapata wapi!!. mimi nimesema wazi siijui kuruani huwa naona michoro na wewe rafiki yangu huijui Biblia using'ang'ane tu hutaelewa utazusha maswali mengi harafu tutapoteza muda mwingi bure!!!Kwani kwenye Bible kuna andiko linalo sema Yesu ni Mungu? (Ukionyesha naomba mods wanipe Ban ya mwezi mzima)
Qur-an ina weka wazi kua, tusile mzoga, Nguruwe na mnyama alie chinjwa na mtu asie Muislam.
Ni bora mara mia anayekula kitimoto kuliko binadamu anayemfira mwenzie
watu wanakazani kitimoto ni dhambui kharam laanantulah lakini kulawiti vitoto vidogo hapana dhambi hapo kuua hawakemei wanabaki kusema tu kitimoto kitimoto hivi kweli kula kitimoto au kulawiti mtoto wakiume tena mdogo unayemfundisha dini ipi ni dhambi wandugu!
Mwenzio muanzisha uzi kaweka kinazi kutokana na mhemko wa imani yake! Na wewe unaleta yale yale! Hakuna ayat hata moja inayo haramisha nguruwe bro! Kama ipo iweke tukufundishe usichoelewa! Chaumbile Mulungu ni cha Kumemena! Kisayansi ndio kabisa mmebugi! Walaji nguruwe wazuri ambao hawaachi kitu ni Wachina, na ndio wenye life span kubwa humu duniani! nenda kagogle uone! Kwa ushauri tu fuga ngururuwe kiuchumi na kiafya badala ya kufuga ndevu!Teh teh teh!Eti wachina wanaongoza kwa idadi!We unadhani siku hizi unahitaji dushe la nguvu kupata mtoto!Au hujaskia kuwa kuna watoto wa makopo! Unaenda kujinunulia tu! Mchina muhindi mjaluo chaguo lako!Kitimoto pia ni sababu kubwa ya saratani ya tumbo na kwa ushahidi zaid ingia hapa kama umekwenda shule lkn!pork | NutritionFacts.orgWacha kitimoto wewe kijana usije nyanganywa mke!Shauti yako.
.................Wewe una scientific proof yoyote ya hao samaki wa kwenye mabwawa uliokuwa unajifunzia kama "specimen" zako huko chuo cha uvuvi kuwa nao wanaambukiza minyoo?.......
Hofstede kwa mtizamo huu sikuwezi. I am educating wrong person at a wrong time!. All the best na thread yako
Nina swali kwako mkuu! Huu walaka wa Paul kwa Timothy ulikua na maana gani na kwanini Paul aliandika hivo? Tukishajua nini kilijiri wakati ule mpaks Paul akaandika hivo basi uhalali wa kula vyakula tu kama ulivoyaandika hayo mafungu haupo!
Hayo mafundisho ya mashetani ni yepi?
Mkuu Eiyer naomba fafanuzi ya neno Lako hili!