Madhara ya kula vyakula vya kutengeneza vyakula feki vya (GMO) hayo hapo

Madhara ya kula vyakula vya kutengeneza vyakula feki vya (GMO) hayo hapo

Nadhani ni vema kutofautisha, vyakula vilivyoongezewa virutubisho na vyakula vya viini tete (ambavyo vimefanyiwa uhandisi wa gini....yaani genetically modified organisms GMOs). Kama nimeelewa TFDA inaongelea vile vimeongezewa kama chumvi inawekwa madini joto, na siku za karibuni nimesikia hata unga wa sembe wanaanza kuweka hayo madini/virutubisho
 
Nadhani ni vema kutofautisha, vyakula vilivyoongezewa virutubisho na vyakula vya viini tete (ambavyo vimefanyiwa uhandisi wa gini....yaani genetically modified organisms GMOs). Kama nimeelewa TFDA inaongelea vile vimeongezewa kama chumvi inawekwa madini joto, na siku za karibuni nimesikia hata unga wa sembe wanaanza kuweka hayo madini/virutubisho
Kwa hiyo wanavyofanya hao TFDA ni sawa hakuna tofauti na hawa wa GMO? ndugu BUBE Nipe Tofauti zake kidogo hapo ndugu.
 
Bila shaka ipo tofauti. Natamani tungepata food scientist hapa akatueleza vizuri. Chakula lishe (nadhani inajumuisha na food additives), lakini kwenye kwenye lugha sahihi, wanaita food supplements....hii ni kutokana na kuwa wakati mwingine, kutokana na aida fulani ya vyakula ama life style yetu, vyakula vinapungukiwa na aida fulani ya virutubisho kwenye mwili, na hivyo kuhitaji kufanyiwa food fortification. Hii iko zaidi kwenye unga wa sembe na pengine vingine pia
Sasa ukiongelea viini tete (geni zilizofanyiwa uhandisi), hizi ni kuwa tangu kupandwa ni tayari mbegu husika (ambayo genes zake zimefanyiwa uhandisi. Wakati tunajua wanyama huwa na DNA na mimea RNA, wakati mbegu inapofanyiwa uhandisi wa kigeni, unaweza kuchanganya toka mmea na mnyama, lakini wenye sifa fulani (characteristics/quality) ukaingiza kwenye nyingine ukapata nyingine. Usishangae kwenye GMos, mtu anachanganya genes za panya na mwembe ili apate mmea mwingine tofauti kabisa. Katika hali ya kawaida, haya mambo hayawezi kutokea. Sasa nadhani hao TFDA wao wana mashaka kuhusu food additives/supplements. Mfano, kuna bidhaa nyingi zinaandikwa 50+kwa wanawake na pia kwa wanaume. Labda hizondo zinaweza kuwa zinapigwa marufuku.Mfano ukisikia kuhusu hormone za testosterone unaambiwa inavyopungua kwa wanaume kadri umri unavyoongezeka na kupunguza uwezo wa tendo la ndoa kwa wanaume. Badala ya kutumia viagra, watu wanaweka utaratibu wa kumeza vidonge hivyo vyenye virutubisho hivyo (nadhani vinaweza kuchochea homes husika kuzaliana kwa wingi) na hivyo kuongeza uwezo wa tendo lenyewe. Ni mawazo mimi sio mtaalam
 
RIP DR.SEBI TALKS ON GMO FOODS........



DR.SEB ON GMO FOODS.jpg
 
Gm food hazina maradhara kiafya tena huwa na faida nyingi na nzuri kuliko convetional food mfano nchi kama marekani hawalimi je chakula wangepata wapi pia nchi kama china walivyokuwa wengi unafikiri wakulima wanaweza kufeed population yote ile pia husaidia kukuza mazao katika mazingira yeyote bila kuangalia udongo ni wa aina gani je shamba lipo bondeni au wapi kama ilivyo kwa mazao yetu hapa tanzania pia husaidia kuzuia mbegu au mimea isishambue liwe na vijidudu mfano papai hushambuliwa na virua aina ya ringspot virus na jua kitu ambacho huathiri ukuaji wa papai hivyo kupia genetics engineering wameweza kuintroduce ne trait aina ya bbl1 na bbl2 pia hata maziwa yanayotengenezwa na gm huwa yana higher nutritional value ukilinganisha na ya kawaida
Wewe unacho zungumza kama vile mtoto wa shule ya darasa la saba. Kwani kabla havija kuja hivyo Vyakula vyao feki na vyenye sumu kali ya kuwadhuru binadamu (GMO) Wachina na Wamarekani walikuwa wanakula nini Majani?

Unapoamua kuandika kitu fikiria kesho itakuwaje kwako wewe mlaji masikini usifikirie ulaji wa matajiri fikiria ulaji wako wewe mtu wa hali ya chini na afya yako kwa ujumla. Nchini Amerika sasa ukienda Kwenye Maduka yao Maduka ya Super Market utakuta vyakula vya aina 2 vyakula vya Sumu aka (Foods of GMO) bei yake ni rahisi na utakuta Vyakula vya Asili aka (Organic Foods) ni bei yake ni ghali kazi

kwako kuchagua ule sumu au ule chakula kwa ajili ya Afya yako? Sasa sisi waafrika hatutaweza kufika hatua waliyo kuwa nayo hao mataifa makubwa ya kuchagua chakula wewe utakacholetewa chakula kutoka hao mataifa makubwa utakula hata kama kikiwa na sumu utatia tumboni mwako ndio maana siku hizi maradhi ya ajabu ajabu yamekuwa ni mengi sana.

Wazungu wanatuletea vyakula vya sumu kutujaribu sisi watu weusi na kisha eti wanatu tengenezea Madawa yao feki ya kututibu na maradhi tunayo yapata kutokana na vyakula vyao vyenye sumu kazi kwako Mkuu.
 
Mkuu BUBE Mpaka Serikali zetu za Ki-Afrika zishtuke kuwa kwa Kutumia Utaalamu wa (GMO)

ni mbaya basi Wananchi wengi watakuwa wameshapatwa na Maradhi ya hivyo vyakula Feki vya Kutengeneza na Madawa ya sumu ya (GMO)

Tujiepushe jamani na huo Utalaam Feki wa Kimarekani asante.
KWA MFANO TUTAJIEPUSHAJE IKIWA KILA MBEGU ZA MIMEA ILIYOPO NI MBEGU ZA GMO?WANYAMA NA NDEGE NAO WANAZALISHWA KWA MISINGI HIYOHIYO YA VIAMBATA VYENYE GMO HYBRID SEEDS?
 
KWA MFANO TUTAJIEPUSHAJE IKIWA KILA MBEGU ZA MIMEA ILIYOPO NI MBEGU ZA GMO?WANYAMA NA NDEGE NAO WANAZALISHWA KWA MISINGI HIYOHIYO YA VIAMBATA VYENYE GMO HYBRID SEEDS?
Ndio mupinge kwa nguvu ili Serikali isikubali huo mpango wa Amerika kuwamaliza watu kwa kutumia sumu ya dawa kutia ndani ya chakula.
 
Kwani tunashida gani hadi walete hiyo GMO mbona mahindi tukilima kawaida tu tunapata mengi hadi yanakosa wanunuzi
 
Back
Top Bottom