Madhara ya kula vyakula vya kutengeneza vyakula feki vya (GMO) hayo hapo

Madhara ya kula vyakula vya kutengeneza vyakula feki vya (GMO) hayo hapo

NIna kubaliana na wewe kuhusu hilo, but. Companies that promote GMOs are filthy rich! They are very influential, thus a need to have independent bodies that informs the government and consumers in particular about possible effect.
Mkuu BUBE Mpaka Serikali zetu za Ki-Afrika zishtuke kuwa kwa Kutumia Utaalamu wa (GMO)

ni mbaya basi Wananchi wengi watakuwa wameshapatwa na Maradhi ya hivyo vyakula Feki vya Kutengeneza na Madawa ya (GMO)

Tujiepushe jamani na huo Utalaam Feki wa Kimarekani asante.
 
NIna kubaliana na wewe kuhusu hilo, but. Companies that promote GMOs are filthy rich! They are very influential, thus a need to have independent bodies that informs the government and consumers in particular about possible effect.
Waache Serikali ikubali huo Upuzi wa (GMO) na sisi tunayegunduwa Dawa za Asili ya Mitishamba za kutibu maradhi tupate wateja WaSwahili Wanasema hivi Vifo vya Wengi ni Harusi waache Serikali iruhusu na akina sisi MziziMkavu tupate wateja wa kutibu maradhi.Tupate kuingiza pesa kwa wingi.
 
Waache Serikali ikubali huo Upuzi wa (GMO) na sisi tunayegunduwa Dawa za Asili ya Mitishamba za kutibu maradhi tupate wateja WaSwahili Wanasema hivi Vifo vya Wengini ni Harusi waache Serikali iruhusu na akina sisi MziziMkavu tupate wateja wa kutibu maradhi.
Mkuu MziziMkavu. Sipendi kukubalina na usemi wako. Maana hiyo haina tofauti na kumwacha kipofu atumbukie shimoni, huku ukitarajia kutibu kwa gharama! Hizo hela zitakuwa na ka-laana fulani. Lakini hebu turudi kwenye mada ya teknologia ya uhandisi geni kwenye mazao. Baadhi ya watu wenye msimamo wa kati wametahadharisha kuwa, endapo mazao hayo hayana madhara, ni vema ikafahamika kuwa utafiti wowote unaohusu afya (kupitia chakula) ya binadamu ukafanyika kwa muda mrefu, sio pungufu ya miaka 60 na kuendelea. Kwa nini wanasema haya? Ni kwa kuwa madhara ya kitechnolojia kama hii huchukua muda mrefu kujidhihirisha. Mara nyingine, kizazi cha pili au cha tatu (second or third generation) ndo wanaweza kuonesha madhara halisi yatokanayo na matumizi ya GMO products
Vivyo hivyo, madhara kwa bionuai na uoto wa asili yanaweza yasionekane kwa mwaka mmoja bali kwa kipindi kirefu, na hivyo iko haja ya kuipatia muda kabla ya kuishabiikia. Kwa bahati mbaya watafiti wa GMO hawajatimiza hata miaka 70 tangia waanze kuitumia teknolojia hii. Hii ni hatari
 
Mkuu MziziMkavu. Sipendi kukubalina na usemi wako. Maana hiyo haina tofauti na kumwacha kipofu atumbukie shimoni, huku ukitarajia kutibu kwa gharama! Hizo hela zitakuwa na ka-laana fulani. Lakini hebu turudi kwenye mada ya teknologia ya uhandisi geni kwenye mazao. Baadhi ya watu wenye msimamo wa kati wametahadharisha kuwa, endapo mazao hayo hayana madhara, ni vema ikafahamika kuwa utafiti wowote unaohusu afya (kupitia chakula) ya binadamu ukafanyika kwa muda mrefu, sio pungufu ya miaka 60 na kuendelea. Kwa nini wanasema haya? Ni kwa kuwa madhara ya kitechnolojia kama hii huchukua muda mrefu kujidhihirisha. Mara nyingine, kizazi cha pili au cha tatu (second or third generation) ndo wanaweza kuonesha madhara halisi yatokanayo na matumizi ya GMO products
Vivyo hivyo, madhara kwa bionuai na uoto wa asili yanaweza yasionekane kwa mwaka mmoja bali kwa kipindi kirefu, na hivyo iko haja ya kuipatia muda kabla ya kuishabiikia. Kwa bahati mbaya watafiti wa GMO hawajatimiza hata miaka

70 tangia waanze kuitumia teknolojia hii. Hii ni hatari
Hukubaliana na mimi au unakubaliana na mimi Serikali

yako inaunga mkono huo upuuzi wanaoleta Watu Weupe Mkuu. Vyakula vyao vya Feki vya (GMO) hao wanaoleta hivyo

vyakula pamoja na mimea yao ya (GMO) wana pesa wamesha honga teyari kwa Viongozi wa Serikali yetu utaweza

kupinga vipi wewe wakati Serikali yako inaunga mkono huo mpango wa (GMO)?
 
Hukubaliana na mimi au unakubaliana na mimi Serikali

yako inaunga mkono huo upuuzi wanaoleta Watu Weupe Mkuu. Vyakula vyao vya Feki vya (GMO) hao wanaoleta hivyo

vayakula pamoja na mimea yao ya (GMO) wana pesa wamesha honga teyari kwa Viongozi wa Serikali yetu utaweza

kupinga vipi wewe wakati Serikali yako inaunga mkono huo mpango wa (GMO)?

Mzizi. Nilimaanisha kuwa sikubaliani nawe kwenye kusubiri watu wapate madhara ya GMOs na kisha wewe upate soko la kuuza mtishamba yako. Mengine ninakubaliana. Kwa maana nyingine wewe ni sehemu ya suluhisho, kwa hiyo ni vema wote (mimi, wewe na yule) tukapiga kelele kuhusu madhara haya badala ya kuilaumu serikali au kusubiri madhara yatokee ndo kina mziziMkavu na profesa Majimarefu (kidding) waje na miti(MJINI) shamba kama ndo utatuzi wa madhara hayo. Kwa maana nyingine pia, ni kwa nini tusikinge badala ya kusubiri kufanya tiba?
 
Mzizi. Nilimaanisha kuwa sikubaliani nawe kwenye kusubiri watu wapate madhara ya GMOs na kisha wewe upate soko la kuuza mtishamba yako. Mengine ninakubaliana. Kwa maana nyingine wewe ni sehemu ya suluhisho, kwa hiyo ni vema wote (mimi, wewe na yule) tukapiga kelele kuhusu madhara haya badala ya kuilaumu serikali au kusubiri madhara yatokee ndo kina mziziMkavu na profesa Majimarefu (kidding) waje na miti(MJINI) shamba kama ndo utatuzi wa madhara hayo. Kwa maana nyingine pia, ni kwa nini tusikinge badala ya kusubiri kufanya tiba?
Wewe Utafanya kitu gani zaidi ya Serikali ndio wa kuwajibika na vyakula hivyo feki vya (GMO) mimi na wewe tutafanya kitu gani zaidi ya kuandika ushauri wetu kuwa hatupendi vyakula feki vya (GMO) wewe unafikiriaje?
 
MziziMkavu huenda huko mbeleni hata madawa yako ya mitishamba yatakuwa result ya GMO.....
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: amu
MziziMkavu huenda huko mbeleni hata madawa yako ya mitishamba yatakuwa result ya GMO.....
Si Rahisi haya madawa yangu hayana madhara kwa binadamu kabisa siwezi kukubali kutangaza kitu chenye madhara Mkuu TANMO mimi ninapiga vita Vyakula vyenye Madhara kwa binadamu vyakula vyenye madawa ya (GMO) vyakula feki kisha niunge mkono Madawa ya Mitishamba yenye Madhara? hicho kitu kwangu hakitawezekana. Hata wanipe Mapesa Mabillioni ya pesa sitakubali nitangaze Pumba mkuu hunielewi wewe mimi ni nani? MziziMkavu Hauchimbwi Dawa jina langu ndilo hilo Mkuu.
 
Last edited by a moderator:
GMO Dangers

659.jpg



Genetically modified foods
Are they safe?


The American Academy of Environmental Medicine (AAEM) doesn't think so. The Academy reported that "Several animal studies indicate serious health risks associated with GM food," including infertility, immune problems, accelerated aging, faulty insulin regulation, and changes in major organs and the gastrointestinal system. The AAEM asked

physicians to advise patients to avoid GM foods.Before the FDA decided to allow GMOs into food without labeling, FDA scientists had repeatedly warned that GM foods can create unpredictable, hard-to-detect side effects, including allergies, toxins, new diseases, and nutritional problems. They urged long-term safety studies, but were ignored.
660.jpg



Since then, findings include:


  • Thousands of sheep, buffalo, and goats in Indiadied after grazing on Bt cotton plants
  • Mice eating GM corn for the long term had fewer, and smaller, babies
  • More than half the babies of mother rats fed GM soy died within three weeks, and were smaller
  • Testicle cells of mice and rats on a GM soy change significantly
  • By the third generation, most GM soy-fed hamsters lost the ability to have babies
  • Rodents fed GM corn and soy showed immune system responses and signs of toxicity
  • Cooked GM soy contains as much as 7-times the amount of a known soy allergen
  • Soy allergies skyrocketed by 50% in the UK, soon after GM soy was introduced
  • The stomach lining of rats fed GM potatoes showed excessive cell growth, a condition that may lead to cancer.
  • Studies showed organ lesions, altered liver and pancreas cells, changed enzyme levels, etc.

Unlike safety evaluations for drugs, there are no human clinical trials of GM foods. The only published human feeding experiment revealed that the genetic material inserted into GM soy transfers into bacteria living inside our intestines and continues to

function. This means that long after we stop eating GM foods, we may still have their GM proteins produced continuously inside us. This could mean:


  • If the antibiotic gene inserted into most GM crops were to transfer, it could create super diseases, resistant to antibiotics
  • If the gene that creates Bt-toxin in GM corn were to transfer, it might turn our intestinal bacteria into living pesticide factories.

Although no studies have evaluated if antibiotic or Bt-toxin genes transfer, that is one of the key problems. The safety assessments are too superficial to even identify most of the potential dangers from GMOs. See our Health Risks brochure and

State of the Science
report for more details and citations.
Recent health studies provide growing evidence of harm from GMOs:

Source. Institute for Responsible Technology - GMO Dangers
 
How to Win a GMO Debate: 10 Facts Why GM Food is Bad.
1124021.large.jpg






get healthy living updates


It’s happened to the best of us. The topic of genetically modified (GM) food and crops comes up and someone somewhere starts spewing a spate of pro-GMO rhetoric like, “GM food is the only way to feed the poor! GM crops benefit farmers! GM food and crops are safe!” and we are left with a stammering retort of, “but, but, no, but, uhm, no!”

Next time be prepared by bolstering your argument with these 10 Reasons to Avoid GMOs, courtesy of international bestselling author and GMO expert Jeffrey Smith from The Institute for Responsible Technology (IRT). This list of ten facts and supporting text clearly explain just how serious a threat GM food and crops pose to our personal health as well as the health of the planet.


1. GMOs are unhealthy.
The American Academy of Environmental Medicine (AAEM) urges doctors to prescribe non-GMO diets for all patients. They cite animal studies showing organ damage, gastrointestinal and immune system disorders,

accelerated aging, and infertility. Human studies show how genetically modified (GM) food can leave material behind inside us, possibly causing long-term problems. Genes inserted into GM soy, for example, can transfer into the DNA of bacteria living inside us, and that the toxic insecticide produced by GM corn was found in the blood of pregnant women and their unborn fetuses.

Numerous health problems increased after GMOs were introduced in 1996. The percentage of Americans with three or more chronic illnesses jumped from 7% to 13% in just 9 years; food allergies skyrocketed, and disorders such as autism, reproductive disorders, digestive problems, and others are on the rise. Although there is not

sufficient research to confirm that GMOs are a contributing factor, doctors groups such as the AAEM tell us not to wait before we start protecting ourselves, and especially our children who are most at risk.

The American Public Health Association and American Nurses Association are among many medical groups that condemn the use of GM bovine growth hormone, because the milk from treated cows has more of the hormone IGF-1 (insulin-like growth factor 1)&[HASHTAG]#8213[/HASHTAG];which is linked to cancer.





2. GMOs contaminate forever.

GMOs cross pollinate and their seeds can travel. It is impossible to fully clean up our contaminated gene pool. Self-propagating GMO pollution will outlast the effects of global warming and nuclear waste. The potential impact is

huge, threatening the health of future generations. GMO contamination has also caused economic losses for organic and non-GMO farmers who often struggle to keep their crops pure.


3. GMOs increase herbicide use.

Most GM crops are engineered to be “herbicide tolerant'';they defy deadly weed killer. Monsanto, for example, sells Roundup Ready crops, designed to survive applications of their Roundup herbicide.
Between 1996 and 2008, US farmers sprayed an extra 383 million pounds of herbicide on GMOs. Overuse of Roundup results in “superweeds,” resistant to the herbicide. This is causing farmers to use even more toxic

herbicides every year. Not only does this create environmental harm, GM foods contain higher residues of toxic herbicides. Roundup, for example, is linked with sterility, hormone disruption, birth defects, and cancer.


4. Genetic engineering creates dangerous side effects.

By mixing genes from totally unrelated species, genetic engineering unleashes a host of unpredictable side effects. Moreover, irrespective of the type of genes that are inserted, the very process of creating a GM plant can result in massive collateral damage that produces new toxins, allergens, carcinogens, and nutritional deficiencies.



5. Government oversight is dangerously lax.

Most of the health and environmental risks of GMOs are ignored by governments’ superficial regulations and safety assessments. The reason for this tragedy is largely political. The US Food and Drug Administration (FDA), for

example, doesn’t require a single safety study, does not mandate labeling of GMOs, and allows companies to put their GM foods onto the market without even notifying the agency. Their justification was the claim that they had no

information showing that GM foods were substantially different. But this was a lie. Secret agency memos made public by a lawsuit show that the overwhelming consensus even among the FDA’s own scientists was that GMOs can create unpredictable, hard-to-detect side effects. They urged long-term safety studies. But the White House

had instructed the FDA to promote biotechnology, and the agency official in charge of policy was Michael Taylor, Monsanto’s former attorney, later their vice president. He’s now the US Food Safety Czar.


6. The biotech industry uses “tobacco science” to claim product safety.

Biotech companies like Monsanto told us that Agent Orange, PCBs, and DDT were safe. They are now using the same type of superficial, rigged research to try and convince us that GMOs are safe. Independent scientists,

however, have caught the spin-masters red-handed, demonstrating without doubt how industry-funded research is designed to avoid finding problems, and how adverse findings are distorted or denied.



7. Independent research and reporting is attacked and suppressed.

Scientists who discover problems with GMOs have been attacked, gagged, fired, threatened, and denied funding. The journal Nature acknowledged that a “large block of scientists . . . denigrate research by other legitimate

scientists in a knee-jerk, partisan, emotional way that is not helpful in advancing knowledge.” Attempts by media to expose problems are also often censored.




8. GMOs harm the environment.

GM crops and their associated herbicides can harm birds, insects, amphibians, marine ecosystems, and soil organisms. They reduce bio-diversity, pollute water resources, and are unsustainable. For example, GM crops are

eliminating habitat for monarch butterflies, whose populations are down 50% in the US. Roundup herbicide has been shown to cause birth defects in amphibians, embryonic deaths and endocrine disruptions, and organ

damage in animals even at very low doses. GM canola has been found growing wild in North Dakota and California, threatening to pass on its herbicide tolerant genes on to weeds.


9. GMOs do not increase yields, and work against feeding a hungry world.

Whereas sustainable non-GMO agricultural methods used in developing countries have conclusively resulted in yield increases of 79% and higher, GMOs do not, on average, increase yields at all. This was evident in the Union of Concerned Scientists’ 2009 report Failure to Yield&[HASHTAG]#8213[/HASHTAG];the definitive study to date on GM crops and yield.
The International Assessment of Agricultural Knowledge, Science and Technology for Development (IAASTD) report, authored by more than 400 scientists and backed by 58 governments, stated that GM crop yields were

“highly variable” and in some cases, “yields declined.” The report noted, “Assessment of the technology lags behind its development, information is anecdotal and contradictory, and uncertainty about possible benefits and

damage is unavoidable.” They determined that the current GMOs have nothing to offer the goals of reducing hunger and poverty, improving nutrition, health and rural livelihoods, and facilitating social and environmental sustainability.

On the contrary, GMOs divert money and resources that would otherwise be spent on more safe, reliable, and appropriate technologies.


10. By avoiding GMOs, you contribute to the coming tipping point of consumer rejection, forcing them out of our food supply.

Because GMOs give no consumer benefits, if even a small percentage of us start rejecting brands that contain them, GM ingredients will become a marketing liability. Food companies will kick them out. In Europe, for example,

the tipping point was achieved in 1999, just after a high profile GMO safety scandal hit the papers and alerted citizens to the potential dangers. In the US, a consumer rebellion against GM bovine growth hormone has also

reached a tipping point, kicked the cow drug out of dairy products by Wal-Mart, Starbucks, Dannon, Yoplait, and most of America’s dairies.
Jeffrey M. Smith is the director of the Institute for Responsible Technology and is one of the world’s leading advocates against GM foods. His book Seeds of Deception is rated the number one book on the subject and

has had a substantial influence on public perception and even legislation. Smith has reached tens of millions of people through hundreds of media interviews. He is also the author of Genetic Roulette: The Documented Health Risks of Genetically Engineered Foods.


Source.How to Win a GMO Debate: 10 Facts Why GM Food is Bad | Care2 Healthy Living

Hatuponi kabisa Watu weupe wakishindwa kutugombanisha na majirani zetu, nchi kwa nchi ili wauze

Silaha sasa wanatumia vyakula kutuangamiza na Maradhi ambayo hayana tiba. Tuwe

Waangalifu jamani na vyakula vyao Feki tutaangamia kidogo kidogo wanatuuwa kwa siri

pasipo na sisi kujuwa kitu gani kinacho tuangamiza. Tuamkeni tuache Ma vyakula vyao vyakula Feki

MC DONALD ,BURGER KING na Mengineyo mengi tu hayana idadi maalum. Tuleni vyakula vyetu

vya kienyeji vya kutengeneza nyumbani ni bora kuliko kununuwa vyakula vilivyotengenezwa

teyari kuliwa asanteni.
 
Si Rahisi haya madawa yangu hayana madhara kwa binadamu kabisa siwezi kukubali kutangaza kitu chenye madhara Mkuu TANMO mimi ninapiga vita Vyakuıla vyenye Madhara kwa binadamu vyakula vyenye madawa ya (GMO) vyakula feki kisha niunge mkono Madawa ya Mitishamba yenye Madhara? hicho kitu kwangu hakitawezekana. Hata wanipe Mapesa Mabillioni ya pesa sitakubali nitangaze Pumba mkuu hunielewi wewe mimi ni nani? MziziMkavu Hauchimbwi Dawa jina langu ndilo hilo Mkuu.

Mkuu MziziMkavu, hoja yangu kuu hapa ni hii Teknolojia ya GMO inayofanyika kwa wanyama na mimea, jinsi ilivyo changamoto kwangu na kwako pia,,,
kwa jinsi hali ilivyo itafika mahali hata miti utakayokuwa unatumia kutibu watu ikawa kwa namna moja ama nyingine imetengenezwa maabara... Simaanishi kuwa utafanya kwa makusudi bali itatokea automatic, hasa ukizingatia kuwa kadri muda unavyokwenda na uoto wa asili unazidi kupotea na unaibuka uoto wa Kimaabara, labda ufanye kazi ya kukusanya mizizi mapema kabla uoto wa asili haujapotea, lol
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MziziMkavu, hoja yangu kuu hapa ni hii Teknolojia ya GMO inayofanyika kwa wanyama na mimea, jinsi ilivyo changamoto kwangu na kwako pia,,,
kwa jinsi hali ilivyo itafika mahali hata miti utakayokuwa unatumia kutibu watu ikawa kwa namna moja ama nyingine imetengenezwa maabara... Simaanishi kuwa utafanya kwa makusudi bali itatokea automatic, hasa ukizingatia kuwa kadri muda unavyokwenda na uoto wa asili unazidi kupotea na unaibuka uoto wa Kimaabara, labda ufanye kazi ya kukusanya mizizi mapema kabla uoto wa asili haujapotea, lol
Mkuu TANMO Mfano wako haufanani hawa wanaohusika wanatengeneza Vyakula tofauti na dawa sio Rahisi inaweza kutokea lakini huwezi kuzuia lakini hawa Watengenezaji wanatengeneza vyakula kwa faida. WAnatafuta kitu chenye kuingiza pesa kwa haraka ni chakula sio dawa mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Kuna kitu nakifanyia analysis bila shaka nitakileta hapa siku si nyingi
 
Kuna kitu nakifanyia analysis bila shaka nitakileta hapa siku si nyingi
1017542_546325982094538_1892574122_n.png

Exposure to Stress Even Before Conception Causes Genetic Changes to Offspring

A female’s exposure to distress even before she conceives causes changes in the expression of a gene linked to the stress mechanism in the body — in the ovum and later in the brains of the offspring from when they are born, according to a new study on rats conducted by the University of Haifa.

“The systemic similarity in many instances between us and mice raises questions about the transgenerational influences in humans as well, for example, the effects of the Second Lebanon War or the security situation in the South on the children of those who went through those difficult experiences,” the researchers said. “If until now we saw evidence only of behavioral effects, now we’ve found proof of effects at the genetic level.”


In previous studies in Prof. Micah Leshem’s lab, it was found that exposing rats to stress before they had even conceived (and even at their “teen” stage) influences the behavior of their offspring. This study, conducted in the lab of Dr. Inna Gaisler-Salomon by PhD student Hiba Zaidan, in cooperation with Prof. Leshem, the researchers sought to examine whether there was an influence on genetic expression.

In the study, which was recently published in the journal Biological Psychiatry, the researchers focused on the gene known as CRF-1, a gene linked to the body’s stress-control system that expresses itself in many places in the brain under stress.

The researchers took female rats that were 45 days old, which is parallel to human adolescence. Some of the rats were exposed to “minor” stress, which included changes in temperature and daily routine for seven days, and compared them to a control group that was not exposed to stress at all. The rats were mated and conceived two weeks later.

In the first part of the study, the researchers examined the ova of the rats that were exposed to stress even before they conceived, and they found that at that stage there was enhanced expression of the CRF-1 gene. For the second part, the researchers examined the brains of newborn rats immediately after birth, before the mother could have any influence on them, and found that even at the neonatal stage, there was enhanced expression of the CRF-1 gene in the brains of the rats born to mothers who had been exposed to stress.

During the third stage, the researchers exposed the offspring – both those whose mothers had been exposed to stress and those whose mothers were not – to stress when they reached adulthood. It emerged that the expression of CRF-1 among the offspring was dependent on three factors: The sex of the offspring, the stress undergone by the mother and the stress to which the offspring were exposed. The female rats whose mothers had been exposed to stress and who themselves underwent a “stressful” behavioral test showed higher levels of CRF-1 than other groups.

“This is the first time that we showed that the genetic response to stress in rats is linked to the experiences their mothers underwent long before they even got pregnant with them,” the researchers said. “We are learning more and more about intergenerational genetic transfer and in light of the findings, and in light of the fact that in today’s reality many women are exposed to stress even before they get pregnant, it’s important to research the degree to which such phenomenon take place in humans.”
 
577502_232960163536795_1905927073_n.jpg



This farmer proved that the RATS won't even eat the GMO corn, but the rats in our government and media want YOU to eat it!

Panya aliye muumba Mwenyeezi Mungu hawezi kula vyakula vya kutengeneza feki (GMO). Panya>Serikali wanakula Wananchi kwa kuwalisha Vyakula feki vya kutengeneza kasheshe kweli dunia yetu hii.
 
Wapenzi mbona hivi.....???


Eh! Mambo haya ni balaa ndugu zanguni.........mambo kama haya mkisikia inatakikana kuwa macho na GMO..... nakama
inawezekana ushirika kwa kiujumla inatakikana kuikataa kwa
njia zote zile ingekua bora zaidi.......sababu bila chakula cha
halali, tumo hatarini......hata kuku pia sasa wanafanya feki...
Tena ni wa China ndio wenye tabia hii sana.......na wanaisambaza kote inchini dunia nzima.....wanavituko....???
Sababu wanataka ku control dunia na mambo feki feki......


Wacha Baldness pekee, ina leta viini mbaya tumboni na zaidi
inamaliza nguvu za waume. Na ndio sababu haya yote ya uvamizi wa Africa......Chunguzeni ni kwasababu gani watu wa
chache wana haja ya mashamba makubwa kubwa kupora kwa
waa Africa???


Niwazi kwamba GMO inaleta gas nyingi kwa tumbo tenda ina
wafanya wanaume kukosa moto (joto lile la sawa)........yaani
misuli inakosa natural fire, na hii ni hatari kwa usalama na uhai
wa ubinadamu........Mimi haya yote nilishagunduwa mapema..
We are all at risk here wapenzi. Tushirikianeni tuukatae jambo
hili .......na tena ni wazi kwamba, licha na sababu yao ni kutaka
kupora na kuiba yale mashamba ya wanainchi kwa ukora na
yale yote ya wenyeji wa vijijini....... Sasa je? tusha yajua yale
madhara na hatari ya GMO tunangojea nini?? Viongozi ni sisi.
Na walio pewa madaraka wachunwe wachanuliwe kama wame
shindwa na kazi.......Au???



Judy Miriga
Diaspora Spokesperson
Executive Director
Confederation Council Foundation for Africa Inc.,
USA
http://socioeconomicforum50.blogspot.com
 
Blacklisted: GMO Supporting Food Companies to Avoid


A genetically modified rose by any other name may smell sweet, but it could still have frankenthorns that might independently detach themselves and lop off your finger while you’re smelling it. That’s not unlike a trip to the grocery store these days. There are a lot of ugly surprises in pretty, charmingly-named packages.
It seems like no matter how hard you try to avoid them, GMO sand toxic foods creep into your life.

Take for example, the earthily-packaged “natural” foods that are showcased in your grocery store aisles. They cost twice as much, have obscure brand names, and tout their health benefits and natural sources. You can almost smell the freshly tilled soil when you pick up the box.
Unfortunately, this is nothing more than corporate sleight-of-hand.
Many of the products that seem so good are actually just subsidiaries of the companies that were most complicit in blocking GMO labeling, aided and abetted by everyone’s favorite purveyor of death, Monsanto. (Monsanto, incidentally, donated $7,100,500.00 to the fight against the labeling of GMO-containing products.) Don’t forget that Monsanto is now above the law due to the Monsanto Protection Act, a traitorous rider thatSenator Roy Blunt managed to attach to a bill that was subsequently signed into law by President Obama. (you know, that guy in the White House, who made the labeling of GMOs one of his 2007 campaign promises?)
nomonsanto.jpg


I wish I could make a comprehensive list, but there are more stealthily labeled toxins on the shelves every single day. It all boils down to a these big companies that own nearly all of the foods sold in the United States. Some of the quietly owned subsidiaries may surprise you. Included is the amount that the company (and its subsidiaries) donated to defeat California Proposition 37 which would have required GMO labeling.


Not every item on this list contains genetically modified ingredients. The list is based on the duplicitous marketing of the companies. More consumers are trying to make healthy choices at the grocery stores, but it’s difficult when companies push their toxic wares and dress them up as health food. Young people in particular fall victim to these schemes. You have to give a kid credit for purchasing something called

“Vitamin Water” over a soda pop, and it’s infuriating that the kid, trying to make a good choice, has been tricked into the purchase by deceitful advertising and marketing.
Some of the products listed, may in fact be exactly what they are portrayed to be, but I choose not to financially support the corporations behind them.
the-black-list-300x275.jpg


Protect your health and help starve the beast by avoiding products distributed by these companies and their subsidiaries:

Campbell’s - $250,000.00


  • Healthy Request
  • Wolfgang Puck Soups
  • Pace Foods
  • Pepperidge Farms
  • V-8
Cargill, Inc - $202,229.36


  • Truvia Natural Sweetener
  • Shady Brooks Farms
  • Diamond Crystal Salt
  • Liza
  • Nature Fresh
  • Peter’s Chocolate
  • Wilbur Chocolate
  • Honeysuckle White
  • Rumba Meats
  • Good Nature


Coca Cola - $1,164,400.00


  • Vitamin Water
  • Smart Water
  • Dasani
  • Nestea
  • Minute Maid
  • Honest Tea
  • Odwalla
  • Vitaminenergy

Con-Agra - $1,076,700.00



  • Orville Redenbacher’s Organic
  • Hunt’s Organic
  • Lightlife
  • Alexia
  • Healthy Choice
  • Hebrew National

Dean Foods - $253,950.00



  • Horizon
  • Silk
  • White Wave

General Mills - $908,200.00



  • Nature Valley
  • Fiber One
  • Cheerios
  • Cascadian Farm
  • Muir Glen
  • Lärabar
  • Gold Medal Organic
  • Food Should Taste Good

Heinz- $500,000.00



  • ABC
  • Bagel Bites
  • Complan
  • Daddies
  • Delimex
  • Farex
  • Greenseas
  • HP Sauce
  • Heinz
  • Lea & Perrins
  • Ore-Ida
  • Smart Ones
  • Tater Tots
  • TGI Friday’s
  • Wattie’s
  • Weight Watchers
  • Wylers


Hain-Celestial

UPDATED TO ADD: Heinz has divested itself of Hain-Celestial stock over the past couple of years. Two sources report that the primary investors for Hain-Celestial are companies of extremely dubious consideration for our health: Phillip Morris, Monsanto, Citigroup, Exxon-Mobil, Wal-Mart and Lockheed Martin.

(Farmwars andHome for Health)


  • Earth’s Best
  • Spectrum Organics
  • Garden of Eatin’
  • Casbah
  • Rice Dream
  • Soy Dream
  • WestSoy
  • TofuTown
  • MaraNatha
  • Mountain Sun
  • Walnut Acres
  • Fruiti di Bosco
  • Health Valley
  • Bearitos
  • Bread Shop
  • Celestial Seasonings
Kellogg’s - $632,500.00


  • Kashi
  • Muslix
  • Nutrigrain

  • Bear Naked
  • Morningstar Farms
  • Gardenburger
Kraft - $551,148.25


  • Snapple
  • ReaLemon
  • Triscuit
  • SnackWell’s
  • South Beach
  • Boca
  • Back to Nature
  • Nabisco

Nestle - $1,169,400.00



  • Pure Life
  • Pelligrino
  • Perrier
  • Poland Spring
  • Gerber

  • California Pizza Kitchen
  • Tribe Mediterranean
  • Sweet Leaf Tea

PepsiCo $2,249,661.61



  • Miss Vickie’s
  • Sun Chips
  • Aquafina
  • SoBe
  • Harvest Crunch
  • Dole
  • Ocean Spray

  • Tropicana
  • Miranda
  • Tazo
  • Quaker
  • Naked Juice
  • Mother’s

Unilever – $467,000 (source)



  • Salada
  • Knorr
  • Ben & Jerry’s
A little bit of good news…

There are a few companies you can still count on

It isn’t all bad news. There are a few companies you can still count on – keep in mind that corporate mergers take place every day. When businesses change hands, there is no obligation to notify the public. One such

cautionary tale took place with the company Dean’s, which acquired Horizon Foods. They quietly phased out the use of organic products without making any changes to the label and used non-organic milk produced

under factory farm conditions. As well, they dropped the quality of their organic soy and began purchasing cheaper harvests from Asia. Meanwhile, unwitting retailers had no idea that the company had ceased

producing the items organically, and continued to promote the products as they had previous to the acquisition.
Right now, these are some of the GOOD LABELS to look for:


  • 7th Generation
  • Amy’s Kitchens
  • Apple and Eve
  • Applegate
  • Azumaya
  • Blue Diamond
  • Bob’s Red Mill
  • Bossa Nova
  • Cal Organics
  • Cedarlane
  • Cell-nique
  • Choice Organic Teas
  • Clif Bar/ Nectar Fruit
  • Coombs Family Farmers
  • Cosorzio All Natural
  • Country Choice
  • Crystal Geyser Alpine Water
  • Doctor Kracker
  • Dr. McDougall’s
  • Dr. Praeger
  • Eat Raw
  • Echo Farms
  • EcoMeal
  • Eddie’s Pasta
  • Eden Foods (The only company NOT using harmful plastic in the lining of their cans as bonding agent!)
  • Edward and Sons
  • Endangered Species Chocolate
  • Ener-G
  • EnvironKiz
  • Fantastic Foods.
  • Giving Nature
  • Golden Temple
  • Go Naturally
  • Greenway Farms
  • Harvest Bay
  • Hawthorne Valley
  • Ian’s Natural Foods
  • Koyo Organics
  • Lakewood
  • Lesser Evil
  • Let’s Do…Organics
  • LifeStream
  • Living Harvest
  • Lundberg Family
  • Madhava
  • Murray’s Chicken
  • Nasoya
  • Native Forest
  • Natural by Nature
  • Nature Factor
  • Nature’s Path
  • Newman’s Own Organic
  • Organic Prarie
  • Organic Valley
  • Pacific Naturals
  • Pamela’s
  • Peace Cereal
  • Petalumi
  • Rapunzel
  • Real Foods
  • Republic of Teas
  • Road’s End Organics
  • San J
  • Sensible Foods
  • Seven Star Farms
  • Sunergia
  • Tasty Bite Indian
  • Terra Nostra
  • Texmati
  • Theo chocolates
  • Think Organic
  • Turtle Island Tofurky
  • Vermont Mystic Pie
  • Vitasoy
  • Vita Spelt
  • Vivani Chocolate
  • Wizard’s Saucery
  • Woodstock Farms
  • XOXOXO chocolate
  • Yogi Tea
  • Zija
  • Zoe’s Granola

Another way to avoid unscrupulous food producers is through an App called Buycott. If you happen to have an iPhone, this App can be used to check a product that you see in the stores to see what corporate links exist. You can find it HERE. (Thank you to Miranda for this link!) If I had a cellphone, I would definitely download this tool.


What you can do

Of course, the best ways to avoid GMOs and toxic additives are to avoid packaged foods altogether.

Source.Blacklisted: GMO Supporting Food Companies to Avoid
 
TFDA: UDHIBITI WA VYAKULA VILIVYOONGEZWA VIRUTUBISHO


attachment.php


Kushoto ni mratibu wa uongezaji virutubisho kutoka TFDA, John Mwingira, kulia ni ofisa habari wa TFDA, Gaudensia Simwanza wakiwa mbele ya wanahabari (hawapo pichani).
attachment.php


v-rutub-sho-1-jpg.249259





v-rutub-sho-2-jpg.249260


Wanahabari

wakifuatilia kwa makini taarifa ya Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA)

attachment.php


Sehemu ya waraka kwa wanahabari.
attachment.php
attachment.php


MAMLAKA ya Chakula na Dawa ‘’TFDA’’ imetoa maelezo kwa wanahabari kuhusu upungufu wa vitamini na madini, yanaathiri afya ya watoto na wanawake walio katika umri wa kuzaa duniani kote. Kwa Tanzania upungufu mkubwa uko katika vitamini ‘’A’’, madini chuma na madini joto.
Baadhi ya madhara yanayosababishwa na upungufu wa viini lishe hivi ni pamoja na kutoona vizuri, uharibifu wa macho, watoto kuzaliwa wakiwa na uzito ulio pungufu,
kuwa na uwezo mdogo wa ubunifu na umakini, ulemavu, kudumaa, upungufu mkubwa wa damu, kinga ya mwili, kupungua na kuongezeka kwa madhara ya magonjwa nyemelezi yanayoambatana na VVU/UKIMWI.

Gabriel Ng’osha na Haruni Sanchawa/GPL

SERIKALI NAYO KUMBE INAUNGA MKONO KUONGEZA VIRUTUBISHO FEKI VYA (GMO) KWENYE VYAKULA. HATUTA PONA JAMANI TUTAPATWA MARADHI MABAYA YA SARATANI YA FIGO, MAINI, MATITI NA TEZI DUME NA TUTAKUFA KIDOGO KIDOGO. Mkuu BUBE Mkuu BAK
v-rutub-sho-3-jpg.249261




v-rutub-sho-4-jpg.249262



v-rutub-sho-5-jpg.249263
 

Attachments

  • V?RUTUB?SHO 1.jpg
    V?RUTUB?SHO 1.jpg
    32.9 KB · Views: 525
  • V?RUTUB?SHO 2.jpg
    V?RUTUB?SHO 2.jpg
    29.5 KB · Views: 509
  • V?RUTUB?SHO 3.jpg
    V?RUTUB?SHO 3.jpg
    70.5 KB · Views: 535
  • V?RUTUB?SHO 4.jpg
    V?RUTUB?SHO 4.jpg
    87.2 KB · Views: 541
  • V?RUTUB?SHO 5.jpg
    V?RUTUB?SHO 5.jpg
    66.8 KB · Views: 531
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Gm food hazina maradhara kiafya tena huwa na faida nyingi na nzuri kuliko convetional food mfano nchi kama marekani hawalimi je chakula wangepata wapi pia nchi kama china walivyokuwa wengi unafikiri wakulima wanaweza kufeed population yote ile pia husaidia kukuza mazao katika mazingira yeyote bila kuangalia udongo ni wa aina gani je shamba lipo bondeni au wapi kama ilivyo kwa mazao yetu hapa tanzania pia husaidia kuzuia mbegu au mimea isishambue liwe na vijidudu mfano papai hushambuliwa na virua aina ya ringspot virus na jua kitu ambacho huathiri ukuaji wa papai hivyo kupia genetics engineering wameweza kuintroduce ne trait aina ya bbl1 na bbl2 pia hata maziwa yanayotengenezwa na gm huwa yana higher nutritional value ukilinganisha na ya kawaida
 
Back
Top Bottom