Madhara ya kunyonyana Sehemu za Siri

Madhara ya kunyonyana Sehemu za Siri

Sasa mtu akikuambia kwa ridhaa yake mwenyewe anataka waajemi wote awameze we utakataa?

Halafu mtu nataka kupata ladha ya chumvi nifanyeje mkuu, that thing bwana...!!
MCHUMA JANGA HULA NA WA KWAO MKUU.

Yangu ni hayo tu!
 
Ewe Sikio la kufa usipite bila ya kusoma hapa!

Kunyonyana sehemu za siri kitendo hiki hutokea pale mwanamke anapoweka uume wa mwenza wake mdomoni mwake na kuanza kunyonya kama pipi, au mwanaume kuingiza ulimi ukeni pamoja na kunyonya via vya mwanamke pindi wapenzi hawa wawapo faragha.

Kumekua na ongezeko la kitendo hiki kwa vijana na imekua kama ni sehemu ya mahaba kwa wapenzi hata inafikia hatua mwanaume ANAONA MKE/MPENZI WAKE HAJUI MAHABA KAMA HAJAMNYONYA UUME AU MWANAMKE KUONA HIVO ASIPONYONYWA YEYE, VILIVILE KUNA WANAWAKE WANAONA KUFANYA MAPENZI BILA KUNYONYA NI USHAMBA.
Vyumbani mambo mengi sana hutokea katika suala zima la mapenzi, nitaenda kusema kwa ufupi madhara ya kunyonya

KISONONO CHA KOO.
Kama unafanya hiki kitendo halafu ukute mwanamke/mwanaume ana magonjwa ya zinaa kama kisonono inakua rahisi kwa mnyonyaji kuambukizwa.

kumbukeni kama mwanamke ana kisonono sio rahisi kumgundua kama ilivyo kwa mwanaume.TUWENI MAKINI.

SARATANI YA KOO.
Hii hasa huwapata wanawake ambao hupenda kunyonya uume na hivo kuwaweka katika hatari ya kuambukizwa vimelea wanao sababisha saratani hiyo mfano HPV

View attachment 2853456

KUBADILISHANA BACTERIA.
Kama wote tunavofaham ya kwamba kwenye miili yetu kuna bacteria Rafiki(normal flora); sasa hao bacteria wakiingia sehem ambayo sio yake huleta madhara kwani wameingia eneo ambalo hawajazoea, wataingia sehemu mpya kwa kuwanyonya kutoka kwa mwanamke au mwanaume.


Kupata maambukizi ya HIV

Kupata madonda mdomoni

Kujiweka katika hatari ya kupata saratani za mdomo, ulimi nk

SASA WADAU WANGU MPAKA HAPO NIMEFIKIA MWISHO WA MAKALA FUPI.

TUJIHADHARI NA VITENDO HATARISHI AMBAVYO TUMEIGA KUTOKA KWA WAZUNGU.

SOTE TUNAFAHAMU KAZI YA MDOMO NA ULIMI KWA HIYO TUSIVIFANYIE KAZI AMBAYO SIO YAKE
ACHENI KUSHABIKIA PAGE, MAKUNDI YA WATSAP, VIDEO AMBAZO ZINAHAMASISHA UFANYAJI WA HAYA MAMBO ZIPUUZENI KWANI HAO WANAOHAMASISHA WENGI WAO NI WAFANYA BIASHARA WA NGONO NA HAWAWATAKII MEMA.

VIJANA WENGI WA KIKE NA KIUME WAACHE HII TABIA

C&P From FB - IslamicNews
Usitupangie, tutaenda chumvini, na watatufanyia blow job.
Endelea na kifo cha mende we msabato
 
ata mimi mjee wa kunjunja na kunjunjumila niliacha hii tabia.wadhee wezangu wa kubabua tuacheni kumwaga lami kwenye barabara tutakufa vibudu
 
Usitupangie, tutaenda chumvini, na watatufanyia blow job.
Endelea na kifo cha mende we msabato
throat-cancer.jpg
 
Nipo pamoja na wewe!
Mimi mtu aking'ang'ania kwenda uvinza huwa ananikata kinoma!

Afya kwanza, kwani hamna vitu vingine vya kuenjoy hadi kunyonyana kama mbwa.
Endelea na msimamo wako Mkuu.

AFYA NI JAMBO LA KULITUNZA SANA.
 
Ila kuna raha yake cha muhimu usafi tu wa mwili
Unapingana na Madaktari.?

Madaktari wameshasema kuwa kuna bakteria wanaokaa sehemu za siri na hawawezi kutolewa kwa usafi binafsi.

ACHA DHARAU KWA WATAALAMU.
 
Soda mbaya, bia mbaya, whisky mbaya, wanga inaongeza sukari ni mbaya, vyakula vya mafuta vibaya, sasa kunyonyana na wake zetu nayo iwe mbaya? Tunaishi milele?
 
Back
Top Bottom