Madhara ya kunyonyana Sehemu za Siri

Madhara ya kunyonyana Sehemu za Siri

Hii sio saratani ya Koo,. Ni bacteria wanaosababisha kunuka Kwa mdomo ,...inaitwa tonsil slits...Huwa zinatoka Kwa kunywa maji ya moto/uvugu vugu yalichanganywa na chumvi..ukiona Hali hii penda sana kubadilisha mswaki na pia uwe unatumia maji ya uvuguvugu yaliyochanganywa na chumvi
 
Hii sio saratani ya Koo,. Ni bacteria wanaosababisha kunuka Kwa mdomo ,...inaitwa tonsil slits...Huwa zinatoka Kwa kunywa maji ya moto/uvugu vugu yalichanganywa na chumvi..ukiona Hali hii penda sana kubadilisha mswaki na pia uwe unatumia maji ya uvuguvugu yaliyochanganywa na chumvi
Tulia kijana, hizo picha nimetoa kwenye Website inayoelezea magonjwa ya Oral sex.
 
Hujanistua Kwa lolote jamaa picha zenyewe ni za wazungu watu walemavu wale shida kidogo tu wanapukutika kama kuku wenye kideri.
Joto likizidi kwao kero.baridi likizidi ni ni tatizo.
Sasa hao ni watu au photocopy



Matatizo kweli kweli/problem True True
 
Hujanistua Kwa lolote jamaa picha zenyewe ni za wazungu watu walemavu wale shida kidogo tu wanapukutika kama kuku wenye kideri.
Joto likizidi kwao kero.baridi likizidi ni ni tatizo.
Sasa hao ni watu au photocopy



Matatizo kweli kweli/problem True True
Endelea na ubishi wako.

MCHUMA JANGA HULA NA WA KWAO.
 
Ewe Sikio la kufa usipite bila ya kusoma hapa!

Kunyonyana sehemu za siri kitendo hiki hutokea pale mwanamke anapoweka uume wa mwenza wake mdomoni mwake na kuanza kunyonya kama pipi, au mwanaume kuingiza ulimi ukeni pamoja na kunyonya via vya mwanamke pindi wapenzi hawa wawapo faragha.

Kumekua na ongezeko la kitendo hiki kwa vijana na imekua kama ni sehemu ya mahaba kwa wapenzi hata inafikia hatua mwanaume ANAONA MKE/MPENZI WAKE HAJUI MAHABA KAMA HAJAMNYONYA UUME AU MWANAMKE KUONA HIVO ASIPONYONYWA YEYE, VILIVILE KUNA WANAWAKE WANAONA KUFANYA MAPENZI BILA KUNYONYA NI USHAMBA.
Vyumbani mambo mengi sana hutokea katika suala zima la mapenzi, nitaenda kusema kwa ufupi madhara ya kunyonya

KISONONO CHA KOO.
Kama unafanya hiki kitendo halafu ukute mwanamke/mwanaume ana magonjwa ya zinaa kama kisonono inakua rahisi kwa mnyonyaji kuambukizwa.

kumbukeni kama mwanamke ana kisonono sio rahisi kumgundua kama ilivyo kwa mwanaume.TUWENI MAKINI.

SARATANI YA KOO.
Hii hasa huwapata wanawake ambao hupenda kunyonya uume na hivo kuwaweka katika hatari ya kuambukizwa vimelea wanao sababisha saratani hiyo mfano HPV

View attachment 2853456

KUBADILISHANA BACTERIA.
Kama wote tunavofaham ya kwamba kwenye miili yetu kuna bacteria Rafiki(normal flora); sasa hao bacteria wakiingia sehem ambayo sio yake huleta madhara kwani wameingia eneo ambalo hawajazoea, wataingia sehemu mpya kwa kuwanyonya kutoka kwa mwanamke au mwanaume.


Kupata maambukizi ya HIV

Kupata madonda mdomoni

Kujiweka katika hatari ya kupata saratani za mdomo, ulimi nk

SASA WADAU WANGU MPAKA HAPO NIMEFIKIA MWISHO WA MAKALA FUPI.

TUJIHADHARI NA VITENDO HATARISHI AMBAVYO TUMEIGA KUTOKA KWA WAZUNGU.

SOTE TUNAFAHAMU KAZI YA MDOMO NA ULIMI KWA HIYO TUSIVIFANYIE KAZI AMBAYO SIO YAKE
ACHENI KUSHABIKIA PAGE, MAKUNDI YA WATSAP, VIDEO AMBAZO ZINAHAMASISHA UFANYAJI WA HAYA MAMBO ZIPUUZENI KWANI HAO WANAOHAMASISHA WENGI WAO NI WAFANYA BIASHARA WA NGONO NA HAWAWATAKII MEMA.

VIJANA WENGI WA KIKE NA KIUME WAACHE HII TABIA

C&P From FB - IslamicNews
Nilishawahi kunyonya dyudyu yule mtu aliachia wazungu jaman sijui ndio wale walinisababishia kupata kama vidonda, ila nilitumia oral mouth wash ikaisha kwa siku mbili. Nilikuwa sielewi kwa nini imetokea kwani kunyonya ni kitu cha kawaida na ni utamu sana. Ile reaction ilichukua siku moja kesho yake ndio nikapata hiyo na haijawahi kutokea before but nashukuru naendelea na mapambano lakini kunyonya sijui kama nitaacha jaman
 
Kuna mambo yanafurahisha sana...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi...
 
Back
Top Bottom