people nahitaji maelekezo zaidi. hivi si Dr. slaa alisaini matokeo ya urais au?
na je kama alisaini si maanaka alikubali?? na kama alikubali then why the change now au hakujua kama hawa mabandidu walishaiba kura???
naomba msaada hapa!!!:doh:
Kitu ambacho nasubiri nione ni je kama wabunge wa Chadema watatoka nje ya bunge pindi Kikwete atakapokuwa anahutubia

Kaka huo ndio uzalendo. Siku nyingine lala barabarani uzuie msafara, hakika utakufa shujaa.:nono::nono::nono::nono::nono:
Leo nimesoma gazeti la mwananchi,ambapo inasemekana Wabunge wa CHADEMA wameamua kuendelea kukaa bungeni wakati rais atakapokua anahutubia bunge!!mimi binafsi sikubaliani nao,ningependa watoke bungeni wakati rais atakapokua anahutubia!!
Madhara yapo sana hasa kwa JK mwenyewe ndo maana hata wabunge wa CHADEMA walioko Dodoma wanatakiwa kutoka nje ya ukumbi wa bunge mara JK atakapoanza kuhutubia..tena ikiwezekana wachukue draft na karata wawe wanacheza kabisa muda wote wa hotuba yake..akimaliza basi warudi ndani au waende zao chako ni chako kula kuku..Hiyo itatuma salamu very clear kuwa JK hupendwi na umeiba kura kuwa rais