Madhara ya kutumia vidonge vya uzazi wa mpango huku wanawake wakisahau njia bora ya kupanga uzazi ni kutumia kondom na kalenda tu

Pamoja na kusaidia wengi kumbuka kuna madhara ambayo huwezi kuyaona kwa muda mfupi ni mpaka baada ya miaka kadhaa na ni makubwa kuliko unavyotarajia,mbona kondomu ni nzuri tu kutumia?
 
Watumiaji walio wengi hawajui madhara ya utumiaji wa vidonge vya uzazi.
 
Tuelezee hizo njia za asili ila usinambie tu maswala ya kutosex siku zangu za joto sababu hiyo siiwezi

Mwanaume kuchomoa nayo siitaki hakuna raha nayopata km mwanaume akiwa anamwaga sperms kuna hisia kali huwa nafeel

Kutumia condom hili hapana kiukweli inapunguza utamu kwa kiasi kikubwa

Njia za kisasa zina athari lakini kusema tuzae tu hilo nalo ni gumu mno

Za siku ni nzuri sana kwa upande wangu
 
Shida ya wanawake wengi ni kushindwa kuhesabu kalenda zao vizuri
Najua kuhesabu kalenda shida ya hiyo kalenda siku zenyewe ndo hamu ya mwanaume inakuwa juu sana
 
Wewe unaelewa asante
 
Kila la heri mama endelea tu kufanya unavyoona ni sahihi maana watu wote hatuwezi kufanana!!
 
Hii madawa ilininyima papuchi mwezi mzima HD nikachepuka!!wife anabridi tuuuuuuuu!!! Loh!!
 
Ngumu ni calendar au kuchomoa?
Kuchomoa ni ngumu sana aisee mwanamke anaweza kukushikilia wakati we unataka kutoa.......Calendar ni rahisi hata kama siku zitabadikika badilika
 
Eeeh ndo raha ya kupanga uzazi ishu za kujibana bana eti withdraw kwani hiyo ni ATM!![/QUOT wacheni maneno mengi tunasema hya ili kuziepuka athari na sikukoseshana raha vo hakuna asohitaji raha ww kma una njia rahic yakupata raha bila athar twambie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…