Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Wewe jinsia gani Mkuu?Mabadliko yke hyawzikua makubwa hd kukupotza inawz kuzd sku au kupngua ila mpka hpo inakua mpo salama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe jinsia gani Mkuu?Mabadliko yke hyawzikua makubwa hd kukupotza inawz kuzd sku au kupngua ila mpka hpo inakua mpo salama
Kweli mkuuCalendar ni best hyo withdrawal huwashinda wengi
Tumia uone kama utamaliza miezi mitatuKabisa mi nitatumia tu calendar basi
Mimi wakiume.au huoni profile hyoWewe jinsia gani Mkuu?
Basi naomba usiongee mambo ya calender maana huijui weweMimi wakiume.au huoni profile hyo
Asnte ila cc pia ndo tnakua na nyinyi wnawke ndona ytu mnayajua na ynu tunayjuaBasi naomba usiongee mambo ya calender maana huijui wewe
Shida ya wanawake wengi ni kushindwa kuhesabu kalenda zao vizuriKufuata kalenda na kuchomoa uume kabla hujamwagia ndani naamini kabisa hii ni misimamo ya vijana ambao hawajui gharama za kupata ujauzito ambao huna mpango nao kabisa
Nakumbuka niliapa kutokuja kutumia njia hizi za kisasa katika kupanga uzazi nami nilijiapiza kutumia kalenda na mwanaume nae alikuwa anachomoa hahahahahaha nicheke kwanza
Ilikuwa utoto labda
Nikapata ujauzito wa ghafla bin vuu Mungu anisamehe nilitamani kuutoa na nilifika kabisa kwa daktari lkn alikataa kuutoa ikanibidi niulee ujauzito kishingo upande kuna siku nilikuwa naomba kabisa hata mimba itoke ndo kwanzaaaaaa ikafika miezi 9 nikajifungua fresh tu
Hapo ndipo nilivunja kiapo changu nikaweka kitanzi maisha mazuri nabinuka nitakavyo mguu mmoja darini mwingine sakafuni no stress
Kalenda ni nzuri lakini kumbukeni siku ya kupata ujauzito ndipo k nayo inaongoza kwa kutoa machozi ya kuwasha na hapo ndipo bwana bamia anapokuwaga mtamu balaa halafu unambie nisiduu au mwanaume aichomoe mnafanya masikhara na utamu nyie
Kuliko kulea mimba kwa masikitiko na manung'uniko ni heri kuizuia ni hayo tu wapendwa
Mnaoapa apeni kimya kimya nawashauri tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnavopenda kutumwagia wala sisubutu hiyo kitu.kuna mijitu ikiweka tu inatema cheche
Watumie kondom kama kalenda ni ngumuWanaume hapa tunaongea sana utadhani tunaijua miili ya wanawake 100%,mzunguko wa hedhi wa mwanamke unaathiriwa na mambo mengi kila siku.Hauwezi kuwa constant kama automated machine, kufuata calendar ni hatari sana na hata withdrawal sio salama pia.
Mwanamke aende hospitali aongee na wataalam wa afya kuhusu njia bora na salama ya uzazi wa mpango.Mimba zisizo tarajiwa sio dili na msiwatishe watu kuhusu side effects ambazo nyingine ni za uongo kabisa.
condom kwenye ndoa? Kalenda ni high risk bora hata mbegu za nyonyo kwa baadhi ya wanawake zinafanya kazi.Watumie kondom kama kalenda ni ngumu
Sasa pale ndo flavour inapokolea unambana hata hapumui
Damu ikiganda utatumia vit k!!Kifo kingali karibu naweHamu ya kula tutaongeza idadi ya mikate.
Kichwa kuuma tutanunua panadol.
Damu ikiganda tutatafuta vitamin k.
Kichefu chefu ndimu italambwa.
Maziwa kua makubwa am gon enjoy that.
Uchafu kutoka ukeni subirini uzi jf.
Real K inakua haina ile ladha ya asili,,Saratani ya matiti na kizazi hasa miaka 18_32, ugumba,siku zao kutokuwa na mpangilio na pia zaweza kuwa nyingi au kidogo,vingo vya uzazi kuwa Baridi,wanakuwa rsfiki na Wachawi,ukitaka kuzaa mtoto wa1,2 anaweza kufa watatu ndio anaweza kuwa hai ila siyo sawasawa,kunenepa kupita kiasi au kukonda sana,ukiweka kitanzi na mimba ikawa imetugwa unakifa.ni nyingi MWENYE swali ruksa
Siku nikianza huo mchezo nitatumia tu calendar au nizae tu hamna namnaTumia uone kama utamaliza miezi mitatu
Mbegu za nyonyo ni sumu pia wengine wakitumia hupata mimbacondom kwenye ndoa? Kalenda ni high risk bora hata mbegu za nyonyo kwa baadhi ya wanawake zinafanya kazi.