Madhara ya kutumia vidonge vya uzazi wa mpango huku wanawake wakisahau njia bora ya kupanga uzazi ni kutumia kondom na kalenda tu

Jamni njia pekee isio na madhara ni withdrawal tu na ni mzr kwa afya na pia njia ya calendar zko sawa hzo
 
Withdawal??mbegu hata 1 inaeza baki Mkuu na Ikatoa matokeo sio mpaka Maelfu ya mbegu.Lakn pia huu mchezo Mkuu Raha zinaeza zidi ukashindwa kuchomoa dk ya 89 ya mchezo.Sishauri
 
Lazma uwe mvumlivu kwa njia ingawa ina ugumu kdgo ila nisalama mbegu haiwz kuwa hai wkt ushtoa nje na kufta
 
Withdawal??mbegu hata 1 inaeza baki Mkuu na Ikatoa matokeo sio mpaka Maelfu ya mbegu.Lakn pia huu mchezo Mkuu Raha zinaeza zidi ukashindwa kuchomoa dk ya 89 ya mchezo.Sishauri
Mnavopenda kutumwagia wala sisubutu hiyo kitu.kuna mijitu ikiweka tu inatema cheche
 
Kuna wanawake nilipata shuhuda zao nikasema siji subutu hata kidogo, hyo ya sindano ni kero unaweza usije zaa tena, njiti inasogea mbele au unapata uvimbe, kitanza kupata infections, kiruuu shaapa hafu bado wanawake kunenepa tumbo na nyonyo
Hzo njia znaathar kubwa wtu hawjli afya za waafrica wnajli psa tu nakuucontrol ulimwngu lzma tuwe makini tusiburuzwe tuu
 
Kabisa mi nitatumia tu calendar basi
 
Kufuata kalenda na kuchomoa uume kabla hujamwagia ndani naamini kabisa hii ni misimamo ya vijana ambao hawajui gharama za kupata ujauzito ambao huna mpango nao kabisa

Nakumbuka niliapa kutokuja kutumia njia hizi za kisasa katika kupanga uzazi nami nilijiapiza kutumia kalenda na mwanaume nae alikuwa anachomoa hahahahahaha nicheke kwanza
Ilikuwa utoto labda

Nikapata ujauzito wa ghafla bin vuu Mungu anisamehe nilitamani kuutoa na nilifika kabisa kwa daktari lkn alikataa kuutoa ikanibidi niulee ujauzito kishingo upande kuna siku nilikuwa naomba kabisa hata mimba itoke ndo kwanzaaaaaa ikafika miezi 9 nikajifungua fresh tu

Hapo ndipo nilivunja kiapo changu nikaweka kitanzi maisha mazuri nabinuka nitakavyo mguu mmoja darini mwingine sakafuni no stress

Kalenda ni nzuri lakini kumbukeni siku ya kupata ujauzito ndipo k nayo inaongoza kwa kutoa machozi ya kuwasha na hapo ndipo bwana bamia anapokuwaga mtamu balaa halafu unambie nisiduu au mwanaume aichomoe mnafanya masikhara na utamu nyie

Kuliko kulea mimba kwa masikitiko na manung'uniko ni heri kuizuia ni hayo tu wapendwa

Mnaoapa apeni kimya kimya nawashauri tu
 
Bora uwaambie hata sielewi wanaongelea kalenda gani hawa jamaa
 
Unatkiwa ufkirie kukosa utamu wa mara moja na kupta shda ya mara nygi bora nn
 
Back
Top Bottom