Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Condom inawasha sanaTumia kondom au fuata kalenda yako tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Condom inawasha sanaTumia kondom au fuata kalenda yako tu
Nitatoombwa tu kwa mwaka mara mojaKitanzi wanasema ukiwa na magonjwa ukeni yanaweza kusafirishwa mpaka Kwenye mfuko wa uzazi,
Bado siyo salama pia.
Kuna shoga yangu huwa anablid kila sikuNi salama pia ila bado inakataa baadhi ya watu kwa kuwa Ina dawa inayocheza na hormones
Hicho kitanzi vipi? Au ndio unakinyonga kitoto .Ukienda clinic wanakushauri na kukupa side effects za Kila njia,
Kisha unachagua njia unayoona ni nafuu.
Kwa Sasa wanashauri zaidi kitanzi kwa kuwa kina madhara kidogo kulinganisha na mengineyo
We kweni umeshapata mume? si bado unatafuta? pata kwanza halafu uchague njia sahihiSijui niolewe na shemeji yanguBora kinga kuliko kuzaa na mtu hataki.bora niumwe kuliko kumleta kiumbe asie na hatia duniani ateseke.
Kwaio mkuu wewe hufanyagi,,,, be honestImewekwa kuleta vizazi na vizazi mkuu so kwa lengo lingine yapi mawazo yako..
Aliyeelewa anitag pleaseMleta Uzi umeogopa kuwachana,ngoja niongezee:
Uke kunuka,ni uwaji moja kwa moja kwa ni njia zote azizui mtoto kutugwa Bali kuharibu mji wa uzazi hivyo wanauwa ,kuvamiwa na mapepo , kuzaa watoto mazuzu ,kukusa mvuto wa tendo ndio maana inatokea michepuko ni upinga krito hata kama unasali Kanisa lolote na nk ntaongeza baadae .mjukumu.
Saratani ya matiti na kizazi hasa miaka 18_32, ugumba,siku zao kutokuwa na mpangilio na pia zaweza kuwa nyingi au kidogo,vingo vya uzazi kuwa Baridi,wanakuwa rsfiki na Wachawi,ukitaka kuzaa mtoto wa1,2 anaweza kufa watatu ndio anaweza kuwa hai ila siyo sawasawa,kunenepa kupita kiasi au kukonda sana,ukiweka kitanzi na mimba ikawa imetugwa unakifa.ni nyingi MWENYE swali ruksaMleta Uzi umeogopa kuwachana,ngoja niongezee:
Uke kunuka,ni uwaji moja kwa moja kwa ni njia zote azizui mtoto kutugwa Bali kuharibu mji wa uzazi hivyo wanauwa ,kuvamiwa na mapepo , kuzaa watoto mazuzu ,kukusa mvuto wa tendo ndio maana inatokea michepuko ni upinga krito hata kama unasali Kanisa lolote na nk ntaongeza baadae .mjukumu.
Niliandika haraka ila Mabashite watapata tabu kusoma ,Aliyeelewa anitag please
Kitanzi hichoSasa kuna raha gani hapo si karaha tu
Calendar haitabiriki mkuuUnaweza kweli
Tumia kalenda yako vizuri
Na mke wangu mbona sana hata hapa na type kwa shida kweli ila si kwa ajili ya stareheeKwaio mkuu wewe hufanyagi,,,, be honest
Mbna maneno makali hivo wakt inawezkna kutozaa bila kutmia ivo vidongeBora kinga kuliko kuzaa na mtu hataki.bora niumwe kuliko kumleta kiumbe asie na hatia duniani ateseke.
Unaongea tuMbna maneno makali hivo wakt inawezkna kutozaa bila kutmia ivo vidonge