Madhara ya kutumia vidonge vya uzazi wa mpango huku wanawake wakisahau njia bora ya kupanga uzazi ni kutumia kondom na kalenda tu

Madhara ya kutumia vidonge vya uzazi wa mpango huku wanawake wakisahau njia bora ya kupanga uzazi ni kutumia kondom na kalenda tu

Kufuata kalenda na kuchomoa uume kabla hujamwagia ndani naamini kabisa hii ni misimamo ya vijana ambao hawajui gharama za kupata ujauzito ambao huna mpango nao kabisa

Nakumbuka niliapa kutokuja kutumia njia hizi za kisasa katika kupanga uzazi nami nilijiapiza kutumia kalenda na mwanaume nae alikuwa anachomoa hahahahahaha nicheke kwanza
Ilikuwa utoto labda

Nikapata ujauzito wa ghafla bin vuu Mungu anisamehe nilitamani kuutoa na nilifika kabisa kwa daktari lkn alikataa kuutoa ikanibidi niulee ujauzito kishingo upande kuna siku nilikuwa naomba kabisa hata mimba itoke ndo kwanzaaaaaa ikafika miezi 9 nikajifungua fresh tu

Hapo ndipo nilivunja kiapo changu nikaweka kitanzi maisha mazuri nabinuka nitakavyo mguu mmoja darini mwingine sakafuni no stress

Kalenda ni nzuri lakini kumbukeni siku ya kupata ujauzito ndipo k nayo inaongoza kwa kutoa machozi ya kuwasha na hapo ndipo bwana bamia anapokuwaga mtamu balaa halafu unambie nisiduu au mwanaume aichomoe mnafanya masikhara na utamu nyie

Kuliko kulea mimba kwa masikitiko na manung'uniko ni heri kuizuia ni hayo tu wapendwa

Mnaoapa apeni kimya kimya nawashauri tu
Shida ya wanawake wengi ni kushindwa kuhesabu kalenda zao vizuri
 
Wanaume hapa tunaongea sana utadhani tunaijua miili ya wanawake 100%,mzunguko wa hedhi wa mwanamke unaathiriwa na mambo mengi kila siku.Hauwezi kuwa constant kama automated machine, kufuata calendar ni hatari sana na hata withdrawal sio salama pia.

Mwanamke aende hospitali aongee na wataalam wa afya kuhusu njia bora na salama ya uzazi wa mpango.Mimba zisizo tarajiwa sio dili na msiwatishe watu kuhusu side effects ambazo nyingine ni za uongo kabisa.
 
Watumie kondom kama kalenda ni ngumu
 
Hamu ya kula tutaongeza idadi ya mikate.

Kichwa kuuma tutanunua panadol.

Damu ikiganda tutatafuta vitamin k.

Kichefu chefu ndimu italambwa.

Maziwa kua makubwa am gon enjoy that.

Uchafu kutoka ukeni subirini uzi jf.
Damu ikiganda utatumia vit k!!Kifo kingali karibu nawe
 
Saratani ya matiti na kizazi hasa miaka 18_32, ugumba,siku zao kutokuwa na mpangilio na pia zaweza kuwa nyingi au kidogo,vingo vya uzazi kuwa Baridi,wanakuwa rsfiki na Wachawi,ukitaka kuzaa mtoto wa1,2 anaweza kufa watatu ndio anaweza kuwa hai ila siyo sawasawa,kunenepa kupita kiasi au kukonda sana,ukiweka kitanzi na mimba ikawa imetugwa unakifa.ni nyingi MWENYE swali ruksa
Real K inakua haina ile ladha ya asili,,
 
condom kwenye ndoa? Kalenda ni high risk bora hata mbegu za nyonyo kwa baadhi ya wanawake zinafanya kazi.
Mbegu za nyonyo ni sumu pia wengine wakitumia hupata mimba
 
Back
Top Bottom