AFYA YA MAMA NA MTOTO
Member
- Mar 1, 2019
- 29
- 11
hahaaa!nataka nititirike ndo mana nauliza kwanzaUmetuuliza swali au ndio umetupanga ili baadae utiririke?
-Kitendo cha kuweka vidole sehemu za siri wakati wa kujisafisha, husababisha michubuko hasahasa kwenye mlango wa shingo ya kizazi hivo kupelekea kuta hizo kushambuliwa na wadudu kirahisiOoh haya tiririka basi tujifunze.
-Kitendo cha kuweka vidole sehemu za siri wakati wa kujisafisha, husababisha michubuko hasahasa kwenye mlango wa shingo ya kizazi hivo kupelekea kuta hizo kushambuliwa na wadudu kirahisi
-Lkn pia kitendo hiki husababisha wadudu kupenya mpaka kwenye kizazi na kusababisha madhara makubwa ikiwemo kutopona vidonda kwa wale wanawake waliojifungua kwa operation
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa tusafisheje mama Yoyoo! Unatutisha ati!-Kitendo cha kuweka vidole sehemu za siri wakati wa kujisafisha, husababisha michubuko hasahasa kwenye mlango wa shingo ya kizazi hivo kupelekea kuta hizo kushambuliwa na wadudu kirahisi
-Lkn pia kitendo hiki husababisha wadudu kupenya mpaka kwenye kizazi na kusababisha madhara makubwa ikiwemo kutopona vidonda kwa wale wanawake waliojifungua kwa operation
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaaaaaaaaAhha kumbe ni wakat wa kujisafisha tu. Nilifikiri na kwenye burudani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm sio mama yoyo ni baba yoyo, hutakiwi ukasafisha hivyoSasa tusafisheje mama Yoyoo! Unatutisha ati!
Kwani kusafisha mpaka uweke kidole?Sasa tusafisheje mama Yoyoo! Unatutisha ati!
Sasa wewe baba Yoyoo unakuwa kama mganga wa kienyeji. Badala ya kuandika watu waelewe unakuja na maswali kama sangoma. Mimi nauliza kwa niaba ya hao unaowapa lecture na siyo kuwa mimi ni ke. Nimeona lecture zako hazijitoshelezi.
Hatua ya kwanza-ingia bafuni hakikisha kuwa bafu ni safi ikiwezekana lifanyie bafu usafi kiasi ambacho utalizika nacho wewe kwani bafuni pia ni sehemu ambayo imekuwa ukiwaletea magonjwa mbalimbali wanawake hasa ikiwa chafu magonjwa ambayo huambatana na harufu mbaya ukeni, -wakati wa usafi unaweza kujisafisha ukiwa umesimama wima au umechuchumaa.Sasa wewe baba Yoyoo unakuwa kama mganga wa kienyeji. Badala ya kuandika watu waelewe unakuja na maswali kama sangoma. Mimi nauliza kwa niaba ya hao unaowapa lecture na siyo kuwa mimi ni ke. Nimeona lecture zako hazijitoshelezi.
Ndo umemaliza??-Kitendo cha kuweka vidole sehemu za siri wakati wa kujisafisha, husababisha michubuko hasahasa kwenye mlango wa shingo ya kizazi hivo kupelekea kuta hizo kushambuliwa na wadudu kirahisi
-Lkn pia kitendo hiki husababisha wadudu kupenya mpaka kwenye kizazi na kusababisha madhara makubwa ikiwemo kutopona vidonda kwa wale wanawake waliojifungua kwa operation
Sent using Jamii Forums mobile app