Madhara ya kuweka vidole sehemu za siri

Madhara ya kuweka vidole sehemu za siri

Joined
Mar 1, 2019
Posts
29
Reaction score
11
Je unafahamu madhara yatokanayo na kuweka vidole wakat wa kujisafisha au kutumia douches sehemu za siri?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kitendo cha kuweka vidole sehemu za siri wakati wa kujisafisha, husababisha michubuko hasahasa kwenye mlango wa shingo ya kizazi hivo kupelekea kuta hizo kushambuliwa na wadudu kirahisi

Lkn pia kitendo hiki husababisha wadudu kupenya mpaka kwenye kizazi na kusababisha madhara makubwa ikiwemo kutopona vidonda kwa wale wanawake waliojifungua kwa operation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooh haya tiririka basi tujifunze.
-Kitendo cha kuweka vidole sehemu za siri wakati wa kujisafisha, husababisha michubuko hasahasa kwenye mlango wa shingo ya kizazi hivo kupelekea kuta hizo kushambuliwa na wadudu kirahisi
-Lkn pia kitendo hiki husababisha wadudu kupenya mpaka kwenye kizazi na kusababisha madhara makubwa ikiwemo kutopona vidonda kwa wale wanawake waliojifungua kwa operation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahha kumbe ni wakat wa kujisafisha tu. Nilifikiri na kwenye burudani

Sasa tusafisheje mama Yoyoo! Unatutisha ati!
 
Kwani kusafisha mpaka uweke kidole?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe baba Yoyoo unakuwa kama mganga wa kienyeji. Badala ya kuandika watu waelewe unakuja na maswali kama sangoma. Mimi nauliza kwa niaba ya hao unaowapa lecture na siyo kuwa mimi ni ke. Nimeona lecture zako hazijitoshelezi.
 
Hatua ya kwanza-ingia bafuni hakikisha kuwa bafu ni safi ikiwezekana lifanyie bafu usafi kiasi ambacho utalizika nacho wewe kwani bafuni pia ni sehemu ambayo imekuwa ukiwaletea magonjwa mbalimbali wanawake hasa ikiwa chafu magonjwa ambayo huambatana na harufu mbaya ukeni, -wakati wa usafi unaweza kujisafisha ukiwa umesimama wima au umechuchumaa.
-Usitumie sabuni hasa detergents sehemu za siri
Hatua nyingine - Suuza uke kwa kumwagia maji uke wako kuanzia mbele kurudi nyuma unaweza kutumia kikombe au kopo la plastiki hii pia itazui kupata ugonjwa wa njia ya mkojo yaani UTI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
-Kitendo cha kuweka vidole sehemu za siri wakati wa kujisafisha, husababisha michubuko hasahasa kwenye mlango wa shingo ya kizazi hivo kupelekea kuta hizo kushambuliwa na wadudu kirahisi
-Lkn pia kitendo hiki husababisha wadudu kupenya mpaka kwenye kizazi na kusababisha madhara makubwa ikiwemo kutopona vidonda kwa wale wanawake waliojifungua kwa operation

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo umemaliza??
 
Back
Top Bottom