Queenever
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,051
- 3,018
Mana bora wanawake wanajiingiza wakiwa bafuni vidole vikiwa visafi. Sasa wao utakuta vichafu,sometimes anaingiza tu
Nahisi hivyo pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi hivyo pia
Mnjunjo ndio wapi huko !?Kuna swali unalikwepa sana mkuu
Vipi wakati wa mnjunjo ni mbaya pia?
Hahahaa,.wanatutania hawa,.Kuna swali unalikwepa sana mkuu
Vipi wakati wa mnjunjo ni mbaya pia?
-Kitendo cha kuweka vidole sehemu za siri wakati wa kujisafisha, husababisha michubuko hasahasa kwenye mlango wa shingo ya kizazi hivo kupelekea kuta hizo kushambuliwa na wadudu kirahisi
-Lkn pia kitendo hiki husababisha wadudu kupenya mpaka kwenye kizazi na kusababisha madhara makubwa ikiwemo kutopona vidonda kwa wale wanawake waliojifungua kwa operation
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwili wangu mwenyewe bado napewa tahadhali juu ya maeneo ya kugusa,.chaaa!!!
Kila mtu Dr siku hizi jomonii...Sikuhizi kila Mtu anatafuta umaarufu Mitandaoni
Na usijeshangaa ana Biology Yake ya Form Two anatuletea pumba hapa
Mbona haleti hiyo tafiti Yake aliyofanya!
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaMsamehe tu, anakufananisha na yule jamaa yake anayemshikisha ukuta pale mtaani kwao.
Ni mbaya, kwasababu ata mikono ya mwanaume pia imebeba bacteria tena mbaya saiv unakuta mtu katoka kushika machuma ya daladala alafu anakuja ata ajaosha anamweka mwenzake vidoleKuna swali unalikwepa sana mkuu
Vipi wakati wa mnjunjo ni mbaya pia?
hahaaaaaaaaaaqqq[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naskia kuna kitu anaitwa finger job,,ni hatarious[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
exactly mbaya snaa apoMana bora wanawake wanajiingiza wakiwa bafuni vidole vikiwa visafi. Sasa wao utakuta vichafu,sometimes anaingiza tu