Madhara ya kuweka vidole sehemu za siri

Madhara ya kuweka vidole sehemu za siri

-Kitendo cha kuweka vidole sehemu za siri wakati wa kujisafisha, husababisha michubuko hasahasa kwenye mlango wa shingo ya kizazi hivo kupelekea kuta hizo kushambuliwa na wadudu kirahisi
-Lkn pia kitendo hiki husababisha wadudu kupenya mpaka kwenye kizazi na kusababisha madhara makubwa ikiwemo kutopona vidonda kwa wale wanawake waliojifungua kwa operation

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha uongo wewe na tafiti zako za kinadharia zisizokuwa scientifically
 
Back
Top Bottom