Ujinga sanaUtajiri wa short cut ni janga kuu, just imagine unakuwa tajiri mkubwa but huruhusiwi kulala chumbani kwako inakubidi ukalale chooni, au unakuwa tajiri mkubwa lakini huruhusiwi kuvaa nguo nzuri na safi au huruhusiwi hata kula vizuri, just imagine hata kula kitimoto rosti uruhusiwi, inakubidi ule ugali tembele mpaka ufe
Kabisa mkuu, utajiri wa masharti ni upuuzi mtupuUjinga sana
Na siyo ajaliutajiri ni mchakato wa muda mrefu
AiseAaaa wapi! Inategemea. Ukipewa masharti magumu unakataa. Pia inategemea huyo mganga mizimu yake siku hiyo imeamka inataka nini. Kuna ndagū zingine masharti yake ni ya kutimiza mara moja tu basi ukifaulu ndo imetoka hiyo....
Jamaa wa kwenye machimbo huku Katoro wanatanua tu na karibu kila mmoja ana lake jambo. Mimi siongei habari za kusimuliwa!