Madhara ni mengiWakuu,
Kuna kautafiti kadogo nafanya kuhusiana na matumizi ya maji ya kisima yenye chumvi kwa matumizi mbalimbali ya nyumbani.
Ningependa kujua madhara, kama yapo ya maji hayo katika vipengele vifuatavyo:
1. Kunywa - yana athari zozote kiafya kwa mnywaji? Je, yakichemshwa?
2. Kupikia - yana athari zozote kwa mlaji?
3. Kufulia - yanaweza kuharibu nguo?
4. Kuogea - yana athari zozote za ngozi?
Naomba majibu yaendane na maswali niliyouliza hapo juu. Natanguliza shukrani.
Kwenye kunywa yana ladha mbaya, nisijue madhara yake huko mwilini, maji yasiyo ya chumvi yakitulia kwenye ndoo muda mrefu huweka utando unaoteleza hiyo ni tofauti na maji ya dodoma, ndoo hutengeneza ugumu wa magadi inayofanania kutu, kwahiyo hapo pata picha yakifika kwa tumbo inakuwaje!Nashukuru. Unaweza ku-Share kile unachojua wewe kuhusu mada hii
Hata yakichemshwa hali ni hiyo hiyo tena chumvi inajichuja chini baada ya muda inabadilika rangi kama kutuHatari sana. Kwa hiyo hata yakichemshwa bado athari unayosema bado inakuwepo?
Hatari sana. Vilevile kuna kipindi nilikuwa mikoa ya kati nikagundua idadi ya kutosha ya wanawake wenye miguu minene, na hapa naongelea unene ule ambao si afya. Sijajua hili linahusiana na maji au ni issue nyingine au ni maumbile tu.Hata yakichemshwa hali ni hiyo hiyo tena chumvi inajichuja chini baada ya muda inabadilika rangi kama kutu
Kweli? We ni mtaalamu wa afya?husababisha mawe kwenye figo
ndio hivo mkuu weka hata kny diaba wiki moja chunguza diabaDuh! Ya kweli haya?
1:Hayana RadhaEmbu dadavua. Umenipoteza kidogo