Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Hilo sasa sijui, ila ukanda huo wana tatizo la meno kuungua/kuoza, inasemekana ni sababu ya majiHatari sana. Vilevile kuna kipindi nilikuwa mikoa ya kati nikagundua idadi ya kutosha ya wanawake wenye miguu minene, na hapa naongelea unene ule ambao si afya. Sijajua hili linahusiana na maji au ni issue nyingine au ni maumbile tu.