Hatari sana. Vilevile kuna kipindi nilikuwa mikoa ya kati nikagundua idadi ya kutosha ya wanawake wenye miguu minene, na hapa naongelea unene ule ambao si afya. Sijajua hili linahusiana na maji au ni issue nyingine au ni maumbile tu.
Kufubaza na kupausha nguo.
Kutumia Sabuni nyingi wakati wa kuoga, kufua au kuisha vyombo.
Kuharibu vyombo Vya nyumbani. [Corrode home appliances made by metals].
Kuna maeneo ya mikoa maji hayo yanapelekea kuharibika meno (kuoza meno).
n.k