Madhara ya maji ya Jambo

Hayana shida mkuu,sabb TBS Standard ni kuanzia 5.5moles/litre to 9.5moles/litre for natural waters!!Maji ya kisima huwa huwa yana tabia ya kubadilika,usiharibu brand ya watu km hujui chemistry mkuu.
 
Kwa Standards zipi ukasema hayafai??Tunatumia TZ Standards na WHO guidelines sa we zipi mkuu ume refer???
 
Una maana ,TBS,TF DA,na mamlaka nyinginezo wamelala wewe ndio uko macho,
 
Tatizo kubwa la sisi watanzania ni kujaribu kuzungumzia vitu ambavyo hatuna ufahamu navyo(Not well informed)
 
Kuna mtu unaona kacomment lakini hajui kitu maji yenyewe ya chupa hatumii pumbavu
 
duh...ina maana TFDA hawajakagua hio bidhaa! Mbona kama post yako imekaa kuharibu biashara ya watu,tunayo Mamlaka husika inayodeal na usalama wa mlaji haiingii akilini bidhaa ipo mikoa karibu yote isiwe imekaguliwa
TC
 
Shame on you.
Do you think Science ni politics eeh!?
 
Moderators tunaomba mfute hii Post,, huyu MTU kitu asichokijua kuharibu biashara ya yawezekana yupo kiwanda kinachozalisha Maji pia.Plzz mods uungwana utumike.
 
huwezi kuishinda JAMBO kizembe hivyo,ile ni Superbrand
 
Na wewe una biashara ya maji ? Hivyo umeamua kuwachafulia. Ni kweli yana PH ya 6??Maana maji ya kunywa yanatakiwa yawe na PH ya 7.Less than 7 ni acidic water.
Kwa kunywa yanafaa if chanzo ni natural waters like Boreholes,TZ standards ni 5.5 to 9.5moles/l.pH can vary due to an aquifer characteristics,
 
We jamaa unajua kuwa Maziwa (milk) yana PH 6, na Soda PH yake ni 4???

Hayo maji yawe na Ph 6 ni kwamba yamewekwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…