Madhara ya maji ya Jambo

Madhara ya maji ya Jambo

Llio 002

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
1,636
Reaction score
2,053
Habari wana jf, kichwa cha habari chajieleza nawasihi ndugu zangu msinywe maji haya ni chanzo cha madonda ya tumbo maji haya yanazalishiwa Shinyanga Ph yake ni acid ya 6 hivyo kuwa chanzo kingine cha tumbo kujaa gesi na viungulia.
FB_IMG_1559077649535.jpeg
 
Hayana shida mkuu,sabb TBS Standard ni kuanzia 5.5moles/litre to 9.5moles/litre for natural waters!!Maji ya kisima huwa huwa yana tabia ya kubadilika,usiharibu brand ya watu km hujui chemistry mkuu.
 
Habari wana jf, kichwa cha habari chajieleza nawasihi ndugu zangu msinywe maji haya ni chanzo cha madonda ya tumbo maji haya yanazalishiwa Shinyanga Ph yake ni acid ya 6 hivyo kuwa chanzo kingine cha tumbo kujaa gesi na viungulia.View attachment 1110928
Kwa Standards zipi ukasema hayafai??Tunatumia TZ Standards na WHO guidelines sa we zipi mkuu ume refer???
 
Habari wana jf, kichwa cha habari chajieleza nawasihi ndugu zangu msinywe maji haya ni chanzo cha madonda ya tumbo maji haya yanazalishiwa Shinyanga Ph yake ni acid ya 6 hivyo kuwa chanzo kingine cha tumbo kujaa gesi na viungulia.View attachment 1110928
Una maana ,TBS,TF DA,na mamlaka nyinginezo wamelala wewe ndio uko macho,
 
Habari wana jf, kichwa cha habari chajieleza nawasihi ndugu zangu msinywe maji haya ni chanzo cha madonda ya tumbo maji haya yanazalishiwa Shinyanga Ph yake ni acid ya 6 hivyo kuwa chanzo kingine cha tumbo kujaa gesi na viungulia.View attachment 1110928
Tatizo kubwa la sisi watanzania ni kujaribu kuzungumzia vitu ambavyo hatuna ufahamu navyo(Not well informed)
 
Kuna mtu unaona kacomment lakini hajui kitu maji yenyewe ya chupa hatumii pumbavu
 
duh...ina maana TFDA hawajakagua hio bidhaa! Mbona kama post yako imekaa kuharibu biashara ya watu,tunayo Mamlaka husika inayodeal na usalama wa mlaji haiingii akilini bidhaa ipo mikoa karibu yote isiwe imekaguliwa
TC
 
Habari wana jf, kichwa cha habari chajieleza nawasihi ndugu zangu msinywe maji haya ni chanzo cha madonda ya tumbo maji haya yanazalishiwa Shinyanga Ph yake ni acid ya 6 hivyo kuwa chanzo kingine cha tumbo kujaa gesi na viungulia.View attachment 1110928
Shame on you.
Do you think Science ni politics eeh!?
 
Moderators tunaomba mfute hii Post,, huyu MTU kitu asichokijua kuharibu biashara ya yawezekana yupo kiwanda kinachozalisha Maji pia.Plzz mods uungwana utumike.
 
Na wewe una biashara ya maji ? Hivyo umeamua kuwachafulia. Ni kweli yana PH ya 6??Maana maji ya kunywa yanatakiwa yawe na PH ya 7.Less than 7 ni acidic water.
Kwa kunywa yanafaa if chanzo ni natural waters like Boreholes,TZ standards ni 5.5 to 9.5moles/l.pH can vary due to an aquifer characteristics,
 
We jamaa unajua kuwa Maziwa (milk) yana PH 6, na Soda PH yake ni 4???

Hayo maji yawe na Ph 6 ni kwamba yamewekwa nini?
 
Back
Top Bottom