Madhara ya maji ya Jambo

Madhara ya maji ya Jambo

Victoire maji ya Ph 7 ni distilled water ambayo kiafya sio salama.Ukinywa yanashusha umeme mwili (electrolyte)
Na wewe una biashara ya maji ? Hivyo umeamua kuwachafulia. Ni kweli yana pH ya 6??Maana maji ya kunywa yanatakiwa yawe na pH ya 7.Less than 7 ni acidic water.
 
Victoire maji ya Ph 7 ni distilled water ambayo kiafya sio salama.Ukinywa yanashusha umeme mwili (electrolyte)
Kweli kabisa ila maji mazuri bora muelekeo wa alkaline maana mwili una PH hiyo na hukinga backteria
 
Mtoa mada wee ni mpuuzi

Wahenga husema:
Hatua ya kwanza kuelekea kua MCHAWI, ni Kua na ROHO MBAYA.

NB:
Ukiwa Snitch kua na Kumbukumbu.

Soma Huu hapa ushuzy wako chini
2019-05-29-09-12-49.jpeg
 
Mkuu,
Hapa kuna vita ya maslahi.

Soma hii hapa chiniView attachment 1111068
Sawa mkuu huyu anachimba visima hauzi maji, Sasa katuambia maji yale yanamadhara tufanye upembuzi kwanza alafu tufikie conclusion...tusianzie kwenye conclusion.....Mfano mimi nauza maji, wateja wangu huniambia maji ya afya wakiyafungua wakayaacha yakalala kesho yake yananuka....sijaja na uzi hapa kuwa maji ya afya yananuka nafanya uchunguzi kwanza....kwahiyo mleta mada kafanya utafiti wake na kugundua hilo em nasi tumpinge kwa hoja
 
Hoja ya mleta mada ni nzuri maana ni kweli ph ya 6 ni acid kwa hiyo hayo maji yana uelekeo wa kuwa na acid sasa hiyo effect yake ya tumbo sina uhakika ila ni vyema kuwa mchunguzi binafsi maana usalama wa afya yako linabaki jukumu lako binafsi siyo TBS wala TFDA

Maana hata wao wamepitisha utengenezwaji wa sigara lkn nani asiyejua madhara ya sigara kwa watumiaji wake?
 
Habari wana jf, kichwa cha habari chajieleza nawasihi ndugu zangu msinywe maji haya ni chanzo cha madonda ya tumbo maji haya yanazalishiwa Shinyanga Ph yake ni acid ya 6 hivyo kuwa chanzo kingine cha tumbo kujaa gesi na viungulia.View attachment 1110928
Unaharibu Brand za watu...i think ndo nyie wauza madawa wa mtaani munaotusumbua kila siku mnakusanya watu mnawauzia dawa ambazo hazijawahi kuponuesha.
 
mimi ni mpenzi wa haya maji nayanywa hadi chupa mbili kwa siku.. kuna hali ya mabadiliko ya mwili yamejitokeza hasa tumbo kuuma mithili ya mgonjwa wa madonda ya tumbo.

ilifikia muda nikaanza kuhisi eitha nina madonda tayari sababu hata kula ilikuwa shida nakula kidogo tumbo linagoma.

nina wiki sijatumia maji haya na hali yangu imekuwa shwari kabisa.

mtoa mada anaweza kuwa na hoja ya msingi asipuuzwe, kikubwa mamlaka zifanye uchunguzi kuweza kubaini ukweli.
 
Aisee! Kumbe huyu jamaa anaharibu biashara za wenziwe ili apate dili la kuchimba visima!
CC Llio 002
Jana kabla sijamjibu lolote kwenye Uzi wake, kwanza nilijaribu kujiridhisha kwa upande wake ili nijue kama pengine kuna maslahi ya moja kwa moja kwa mleta mada yanayo tokana na tuhuma hii nzinto...???
Na baada ya kujirisha kama hivyo, basi nikaamua kuweka ushahidi ili kila mwenye macho atazame pasipo mimi kuongeza wala kupunguza neno
 
Back
Top Bottom