Madhara ya maji ya Jambo

Moderators tunaomba mfute hii Post,, huyu MTU kitu asichokijua kuharibu biashara ya yawezekana yupo kiwanda kinachozalisha Maji pia.Plzz mods uungwana utumike.
Hapo nakuunga mkono hiii italeta shida
 
Tfda wako wapi miaka yote tangia maji hayo yaanze kuzalishwa?
Ni maji gani ya kopo unayoshauri wewe, ndiyo bora 100% kwa matumizi ya binadamu?
Usipojibu haya kwa kutaja vigezo nilivyokuuliza, nitajua kuwa thread yako ni mahsusi kwa ajili ya vita vya kibiashara.
 

Utafiti wako ulilenga maji ya Jambo tu?

Tupe professional qualifications zako tuone kama una sifa za kuwa authority kwenye fani hii. Huwezi ukaamka tu siku moja na kuutaka umma uache kutumia bidhaa fulani. Kama kila mtu akifanya upuuzi kama huu, hakuna bidhaa itakayokubalika, yakiwemo maji unayokunywa wewe.
 
Umetumwa ili uharibu biashara za watu eeh? Mamlaka zinazohusika zikiwemo TFDA na TBS mbona hazijatoa ilani yoyote?
Wewe una maabara yako ulikoyapima maji hayo ukathibitisha kwamba yanasababisha vidonda vya tumbo? Na hata kama una maabara hiyo, ni mamlaka gani imekupa ithibati ya kutoa ilani kama hiyo? Huku ni kuhujumu kampuni ya Jambo na taifa kwa ujumla.
Chondechonde wanasheria wa Jambo chukueni hatua haraka kumwajibisha huyu mpumbavu (heri angekuwa mjinga angeelimishwa tu akaelewa) ili alipe gharama ya upumbavu wake. Fungueni malalamiko polisi; kwa kutumia kitengo cha uhalifu wa mtandao mpuuzi huyu atatiwa mbaroni tu na kushtakiwa pamoja na hao waliomtuma kufanya hicho alichofanya kwa mbinu hiyo chafu isiyokubalika. Ja kukaya; East West, home is best.
 
Moderators tunaomba mfute hii Post,, huyu MTU kitu asichokijua kuharibu biashara ya yawezekana yupo kiwanda kinachozalisha Maji pia.Plzz mods uungwana utumike.
Pamoja na uzi kufutwa, lakini tayari umeshasomwa na madhara yatatokea tu; ashughulikiwe tu tena haraka sana na wanasheria wa Jambo mpumbavu huyu!!
 
Pamoja na uzi kufutwa, lakini tayari umeshasomwa na madhara yatatokea tu; ashughulikiwe tu tena haraka sana na wanasheria wa Jambo mpumbavu huyu!!
Mkuu matukanaji ya humu jf mbona mengi sana, unatumia mbinu gani kulipata na kuliaresti kisha kuliadabisha?
 
For the first time nimetumia last week yamenisumbua sana tumbo. Kumbe yaweza kuwa sababu kwani sikusoma lable ya contents
 
Hivyo uwezo wako ni zaidi ya wa TBS acha fitina ktk biashara za watu kama una mgogoro nao ni ww sio sisi
 
Dah napenda sana haya maji,sasa naona ushanikatisha tamaa kuendelea nayo.
 
Badala ya kumdhihaki na kumtukana kwa jambo ambalo linahusu afya busara ni kufanya utafiti. Nyie mnakuwa kama wageni na TFDA na TBS. Mara ngapi kumekuwa na madawa fake, vyakula na vinywaji vibovu mpaka vilipopigiwa kelele ndo yakatoka matamko?

Suala la afya ni lako binafs kabla hujatukana na kukashifu fanya uchunguzi ufahamu ukweli. Shauri zenu. Fanyeni mambo kwa mihemko na nyege mshindo.
 
TBS & TFDA hawajaona hilo ww ndio umekuja kuliona!!?
 
Michele ya plastic ilijazana tele sana hv karibuni kila kona hapa DSM, asante Mungu baadhi yetu tuliishtukia hatukuila tukaimwaga jalalani.
 
Acha uchizi wewe, kama yana madhara asiseme!
TBS kaya thibitisha yeye ni nani kutuletea hizi porojo: acha uchizi na wewe. Msipende haribu biashara za watu. Watu wamekuza brand yao kufikia apo kijitokee kidudu bwasha kianze kuchafua brand
 
duh...ina maana TFDA hawajakagua hio bidhaa! Mbona kama post yako imekaa kuharibu biashara ya watu,tunayo Mamlaka husika inayodeal na usalama wa mlaji haiingii akilini bidhaa ipo mikoa karibu yote isiwe imekaguliwa
TC
Huyo atakuwa amefukuzwa kazi
 
Naomba tupingane kwa hoja..yeye kasema yana PH ya 6...mwingine apinge hii kwa hoja...PH yake, ..Ubora wake n.k
 
Mleta uzi umetukosea sana watu wa kanda ya ziwa. Haya maji kwetu ni kama maji ya Kilimanjaro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…