chantete
Senior Member
- Nov 18, 2014
- 115
- 77
Hapo nakuunga mkono hiii italeta shidaModerators tunaomba mfute hii Post,, huyu MTU kitu asichokijua kuharibu biashara ya yawezekana yupo kiwanda kinachozalisha Maji pia.Plzz mods uungwana utumike.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo nakuunga mkono hiii italeta shidaModerators tunaomba mfute hii Post,, huyu MTU kitu asichokijua kuharibu biashara ya yawezekana yupo kiwanda kinachozalisha Maji pia.Plzz mods uungwana utumike.
Tfda wako wapi miaka yote tangia maji hayo yaanze kuzalishwa?Habari wana jf, kichwa cha habari chajieleza nawasihi ndugu zangu msinywe maji haya ni chanzo cha madonda ya tumbo maji haya yanazalishiwa Shinyanga Ph yake ni acid ya 6 hivyo kuwa chanzo kingine cha tumbo kujaa gesi na viungulia.View attachment 1110928
Habari wana jf, kichwa cha habari chajieleza nawasihi ndugu zangu msinywe maji haya ni chanzo cha madonda ya tumbo maji haya yanazalishiwa Shinyanga Ph yake ni acid ya 6 hivyo kuwa chanzo kingine cha tumbo kujaa gesi na viungulia.View attachment 1110928
Umetumwa ili uharibu biashara za watu eeh? Mamlaka zinazohusika zikiwemo TFDA na TBS mbona hazijatoa ilani yoyote?Habari wana jf, kichwa cha habari chajieleza nawasihi ndugu zangu msinywe maji haya ni chanzo cha madonda ya tumbo maji haya yanazalishiwa Shinyanga Ph yake ni acid ya 6 hivyo kuwa chanzo kingine cha tumbo kujaa gesi na viungulia.View attachment 1110928
Pamoja na uzi kufutwa, lakini tayari umeshasomwa na madhara yatatokea tu; ashughulikiwe tu tena haraka sana na wanasheria wa Jambo mpumbavu huyu!!Moderators tunaomba mfute hii Post,, huyu MTU kitu asichokijua kuharibu biashara ya yawezekana yupo kiwanda kinachozalisha Maji pia.Plzz mods uungwana utumike.
Mkuu matukanaji ya humu jf mbona mengi sana, unatumia mbinu gani kulipata na kuliaresti kisha kuliadabisha?Pamoja na uzi kufutwa, lakini tayari umeshasomwa na madhara yatatokea tu; ashughulikiwe tu tena haraka sana na wanasheria wa Jambo mpumbavu huyu!!
For the first time nimetumia last week yamenisumbua sana tumbo. Kumbe yaweza kuwa sababu kwani sikusoma lable ya contentsHabari wana jf, kichwa cha habari chajieleza nawasihi ndugu zangu msinywe maji haya ni chanzo cha madonda ya tumbo maji haya yanazalishiwa Shinyanga Ph yake ni acid ya 6 hivyo kuwa chanzo kingine cha tumbo kujaa gesi na viungulia.View attachment 1110928
Acha uchizi wewe, kama yana madhara asiseme!unaharibu biashara za watu
Hivyo uwezo wako ni zaidi ya wa TBS acha fitina ktk biashara za watu kama una mgogoro nao ni ww sio sisiHabari wana jf, kichwa cha habari chajieleza nawasihi ndugu zangu msinywe maji haya ni chanzo cha madonda ya tumbo maji haya yanazalishiwa Shinyanga Ph yake ni acid ya 6 hivyo kuwa chanzo kingine cha tumbo kujaa gesi na viungulia.View attachment 1110928
Badala ya kumdhihaki na kumtukana kwa jambo ambalo linahusu afya busara ni kufanya utafiti. Nyie mnakuwa kama wageni na TFDA na TBS. Mara ngapi kumekuwa na madawa fake, vyakula na vinywaji vibovu mpaka vilipopigiwa kelele ndo yakatoka matamko?
Suala la afya ni lako binafs kabla hujatukana na kukashifu fanya uchunguzi ufahamu ukweli. Shauri zenu. Fanyeni mambo kwa mihemko na nyege mshindo.
TBS kaya thibitisha yeye ni nani kutuletea hizi porojo: acha uchizi na wewe. Msipende haribu biashara za watu. Watu wamekuza brand yao kufikia apo kijitokee kidudu bwasha kianze kuchafua brandAcha uchizi wewe, kama yana madhara asiseme!
Acha uongo wewe kama unamatatizo ya tumbo ni yakoHabari wana jf, kichwa cha habari chajieleza nawasihi ndugu zangu msinywe maji haya ni chanzo cha madonda ya tumbo maji haya yanazalishiwa Shinyanga Ph yake ni acid ya 6 hivyo kuwa chanzo kingine cha tumbo kujaa gesi na viungulia.View attachment 1110928
Huyo atakuwa amefukuzwa kaziduh...ina maana TFDA hawajakagua hio bidhaa! Mbona kama post yako imekaa kuharibu biashara ya watu,tunayo Mamlaka husika inayodeal na usalama wa mlaji haiingii akilini bidhaa ipo mikoa karibu yote isiwe imekaguliwa
TC