NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Na wewe una biashara ya maji ? Hivyo umeamua kuwachafulia. Ni kweli yana pH ya 6??Maana maji ya kunywa yanatakiwa yawe na pH ya 7.Less than 7 ni acidic water.
Kweli kabisa ila maji mazuri bora muelekeo wa alkaline maana mwili una PH hiyo na hukinga backteriaVictoire maji ya Ph 7 ni distilled water ambayo kiafya sio salama.Ukinywa yanashusha umeme mwili (electrolyte)
Mkuu,Naomba tupingane kwa hoja..yeye kasema yana PH ya 6...mwingine apinge hii kwa hoja...PH yake, ..Ubora wake n.k
Sawa mkuu huyu anachimba visima hauzi maji, Sasa katuambia maji yale yanamadhara tufanye upembuzi kwanza alafu tufikie conclusion...tusianzie kwenye conclusion.....Mfano mimi nauza maji, wateja wangu huniambia maji ya afya wakiyafungua wakayaacha yakalala kesho yake yananuka....sijaja na uzi hapa kuwa maji ya afya yananuka nafanya uchunguzi kwanza....kwahiyo mleta mada kafanya utafiti wake na kugundua hilo em nasi tumpinge kwa hoja
Unaharibu Brand za watu...i think ndo nyie wauza madawa wa mtaani munaotusumbua kila siku mnakusanya watu mnawauzia dawa ambazo hazijawahi kuponuesha.Habari wana jf, kichwa cha habari chajieleza nawasihi ndugu zangu msinywe maji haya ni chanzo cha madonda ya tumbo maji haya yanazalishiwa Shinyanga Ph yake ni acid ya 6 hivyo kuwa chanzo kingine cha tumbo kujaa gesi na viungulia.View attachment 1110928
Unaharibu afya za WatanzaniaUnaharibu biashara za watu
Aisee! Kumbe huyu jamaa anaharibu biashara za wenziwe ili apate dili la kuchimba visima!Naomba nisiongeze neno tafadhali....View attachment 1110939
Jana kabla sijamjibu lolote kwenye Uzi wake, kwanza nilijaribu kujiridhisha kwa upande wake ili nijue kama pengine kuna maslahi ya moja kwa moja kwa mleta mada yanayo tokana na tuhuma hii nzinto...???Aisee! Kumbe huyu jamaa anaharibu biashara za wenziwe ili apate dili la kuchimba visima!
CC Llio 002