Madhara ya mimba kukaa kifuani

Madhara ya mimba kukaa kifuani

Kwa uelewa wangu, mimba ikikimbilia kifuani mjamzito anakua na maziwa makubwa Kwa maana kwamba yanaongezeka kuliko kawaida tofauti na tumbo na mwingine huwezi mgundua kama ni mjamizto, tumbo linakua kwa speed ndogo sana. Ila ukienda kwenye vipimo mfano ultra sound mimba inaonekana. Hio ya wiki tatu kujua kwamba imekimbilia kifuani sijui kwakweli.
 
asant kwa mchango wako wa mawazo
 
Mama mkwe anataka kuwapa dawa kamimba kenu katoke. Usimsikilize..

Kwanza ndo vizuri mimba ikikaa kifuani, mtu anajinenepa maziwa. Tumbo halitosonga sana mbele.

Kuna shoga angu mimba yake ilikaa kiunoni 🤣🤣 miezi 7 yuko kama hana mimba. Katumbo kalichomoza mwishoni.
Kumbe mimba hazifanani mkao wake tumboni. Ndio kwanza leo najua habari za mimba ya kifuani na kiunoni
 
Natumai nyote mko poa.

Mke wangu kawa mjamzito yapata wiki 3 mimi na yeye tunavutana akidai ujauzito umekimbilia kifuani na ipo dawa ma mkwe anataka alete ivaliwe kuzunguka kifua km ilizi vile et ndo inashusha mimba kuludi tumboni!

Je, hii ni kweli?
Je, kuna shida gan asipotumia hiyo dawa

NAWASILISHA
Ulisha pigwa hapo,siku akiingia kwenye siku zake atakuambia ujawepesi umetoka.
 
Mama mkwe anataka kuwapa dawa kamimba kenu katoke. Usimsikilize..

Kwanza ndo vizuri mimba ikikaa kifuani, mtu anajinenepa maziwa. Tumbo halitosonga sana mbele.

Kuna shoga angu mimba yake ilikaa kiunoni 🤣🤣 miezi 7 yuko kama hana mimba. Katumbo kalichomoza mwish
Kiwango cha elimu yako tafadhari,vipi kuhusu topic reproduction ulisoma kweli wewe?
 
Kiwango cha elimu yako tafadhari,vipi kuhusu topic reproduction ulisoma kweli wewe?
Unataka ubishe lini ulibeba mimba?
Some shits hazihitaji hata diploma.

Wenye wanavimba pua? Placenta iko puani? Au unadhani kila mwanamke anavimba pua? Ama unadhani kila mwanamke uwa katumbo kanajaa ndii?

Mimba kukimbilia sehemu haimaanishi imehama inakokaa ndio ikaenda huko kwingine.

Bishana na mm kama una tumbo la kubebea mimba, na mlango leba uwe unaujua.
 
Nipe namba za simu basi,
 
Kwa hizo wiki kujaa maziwa ni kawaida sana, baadae yatapungua na kurudi normal na wengine hayarudi hadi wanajifungua.... mimba kukaa kifuani, au kiunoni ni misemo tu kutokana na umbile la mtu litakavyo react kwenye huo ujauzito ila sio kweli mimba inaishi kifuani.
 
Back
Top Bottom