mamylove
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 1,085
- 1,780
Kwa uelewa wangu, mimba ikikimbilia kifuani mjamzito anakua na maziwa makubwa Kwa maana kwamba yanaongezeka kuliko kawaida tofauti na tumbo na mwingine huwezi mgundua kama ni mjamizto, tumbo linakua kwa speed ndogo sana. Ila ukienda kwenye vipimo mfano ultra sound mimba inaonekana. Hio ya wiki tatu kujua kwamba imekimbilia kifuani sijui kwakweli.