nashukulu kwa kunilekebisha mkuuilizi=hirizi
asant kwa mchango wako wa mawazoKwa uelewa wangu, mimba ikikimbilia kifuani mjamzito anakua na maziwa makubwa Kwa maana kwamba yanaongezeka kuliko kawaida tofauti na tumbo na mwingine huwezi mgundua kama ni mjamizto, tumbo linakua kwa speed ndogo sana. Ila ukienda kwenye vipimo mfano ultra sound mimba inaonekana. Hio ya wiki tatu kujua kwamba imekimbilia kifuani sijui kwakweli.
Kumbe mimba hazifanani mkao wake tumboni. Ndio kwanza leo najua habari za mimba ya kifuani na kiunoniMama mkwe anataka kuwapa dawa kamimba kenu katoke. Usimsikilize..
Kwanza ndo vizuri mimba ikikaa kifuani, mtu anajinenepa maziwa. Tumbo halitosonga sana mbele.
Kuna shoga angu mimba yake ilikaa kiunoni 🤣🤣 miezi 7 yuko kama hana mimba. Katumbo kalichomoza mwishoni.
ndyoNi ujauzito wake wakwanza??
ndyo
asantYeye kajuaje kama mimba imekaa kifuani?
Ila mpeleke hosp akapate vipimo,na msitumie dawa za kienyeji
Ulisha pigwa hapo,siku akiingia kwenye siku zake atakuambia ujawepesi umetoka.Natumai nyote mko poa.
Mke wangu kawa mjamzito yapata wiki 3 mimi na yeye tunavutana akidai ujauzito umekimbilia kifuani na ipo dawa ma mkwe anataka alete ivaliwe kuzunguka kifua km ilizi vile et ndo inashusha mimba kuludi tumboni!
Je, hii ni kweli?
Je, kuna shida gan asipotumia hiyo dawa
NAWASILISHA
mmmh sijaelewaUlisha pigwa hapo,siku akiingia kwenye siku zake atakuambia ujawepesi umetoka.
Utaelewa dhamira yake ikitimia.mmmh sijaelewa
funguka mkuuUtaelewa dhamira yake ikitimia.
nam nafikilia hivohivoPlacenta haijawahi kukaa kifuani tangu kuumbwa Kwa misingi ya ulimwengu.mamkwe anapenda shirki
Umri wako tafadhari!funguka mkuu
Kiwango cha elimu yako tafadhari,vipi kuhusu topic reproduction ulisoma kweli wewe?Mama mkwe anataka kuwapa dawa kamimba kenu katoke. Usimsikilize..
Kwanza ndo vizuri mimba ikikaa kifuani, mtu anajinenepa maziwa. Tumbo halitosonga sana mbele.
Kuna shoga angu mimba yake ilikaa kiunoni 🤣🤣 miezi 7 yuko kama hana mimba. Katumbo kalichomoza mwish
Unataka ubishe lini ulibeba mimba?Kiwango cha elimu yako tafadhari,vipi kuhusu topic reproduction ulisoma kweli wewe?
Nipe namba za simu basi,Unataka ubishe lini ulibeba mimba?
Some shits hazihitaji hata diploma.
Wenye wanavimba pua? Placenta iko puani? Au unadhani kila mwanamke anavimba pua? Ama unadhani kila mwanamke uwa katumbo kanajaa ndii?
Mimba kukimbilia sehemu haimaanishi imehama inakokaa ndio ikaenda huko kwingine.
Bishana na mm kama una tumbo la kubebea mimba, na mlango leba uwe unaujua.