Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,659
Wakuu nina mwanangu mwenye miezi minne hivi ameanza kuvimba fizi za juu kuonesha ishara kwamba meno yanakaribia kuota watu wameniambia ni vibaya kwa mtoto kuanza kuota meno ya juu naombeni ukweli wa jambo hili na je nifanyeje niyazuie ya juu yasiote mpaka yale ya chini yatakapoota?
Msaada tafadhali.
Msaada tafadhali.