Madhara ya mtoto kuanza kuota meno ya juu

Madhara ya mtoto kuanza kuota meno ya juu

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
6,658
Reaction score
3,659
Wakuu nina mwanangu mwenye miezi minne hivi ameanza kuvimba fizi za juu kuonesha ishara kwamba meno yanakaribia kuota watu wameniambia ni vibaya kwa mtoto kuanza kuota meno ya juu naombeni ukweli wa jambo hili na je nifanyeje niyazuie ya juu yasiote mpaka yale ya chini yatakapoota?
Msaada tafadhali.
 
Hakuna mtu amewahi kunithibitisha madhara ya meno ya juu kuanza kuota zaidi nadharia tu ambazo hazina ushahidi.
 
Vibaya kwa sababu gani? Myths za kipuuzi acha woga
 
ha ha haaa,kamewahi mno nako.Hongera kwa kukuza ila hakuna shida yoyote na mwanangu yalianza ivoivo na yupo poa
 
Back
Top Bottom