Madhara ya nguo za kununua online nimekoma

Madhara ya nguo za kununua online nimekoma

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Nguo niliyoona kwa mchina
Na ilivokuja kutokea bongo
Screenshot_20230310_141628_Instagram.jpg
Screenshot_20230310_141644_Instagram.jpg
 
Tatizo wala sio nguo ..... Vipimo vyako si ulituma sawa sawa....... SASA shida ni mwili wako hauko kama kwenye hiyo picha.......uvae blazia 46D mwenzako anavaa 23D uoni kasoro...... Hips 36 zako 46 uoni balaa kiuno 26 chako 36 si Bomu Hilo .......Kwa kifupi wewe ni bonge nyanya.. ..mna nguo zenu zina wapendeza vizuri lakini siyo Hilo gauni...... Pole
 
Back
Top Bottom