Madhara ya nguo za kununua online nimekoma

Madhara ya nguo za kununua online nimekoma

Wana JF bwana! Utadhani wao wanatoka sayari ya mars. Mbona dada wa watu kibonge mzuri tu umbo lake limebalance vizuri kabisa. Jadilini nguo....

Mi naona fabric iko tofauti na rangi pia, ila sio mbaya kivileee!
Hii mada ingeweza kusaidia wengi wanaonunua vitu online kama watu wangeitazama kwenye muktadha wa mwanzisha uzi.
 
Bora wewe kabisa aisee, mimi wife aliagiza yakaja bonge ya majanga 😭 😭😭

mshono.jpg
 
Nguo ndo hiyo tatizo miili yenu, mwenzako ana ziwa konzi ww ndala, .mwenzio na kashepu fulan ww unaa shape la kimanka
 
Muhimu kabla ya kununua vitu online soma reviews za wanunuzi waliopita at least itakupa mwanga.
unajua siku hizi wauza bidhaa online huwa wanawalipa reviewers ili waandike comments nzuri? Pia wanawalipa influencers kufanya promotion ya bidhaa zao.
 
Mm naona tatizo ni vipimo tofauti na pichani, ulipaswa kujipima na kuchagua vipimo kulingana na mwili wako
 
Back
Top Bottom