Mpyena
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 981
- 1,243
Shida ilianzia hapo,mkono kama chimney ya boiler halafu mnene mfupiSasa uneona nguo imevaliwa na kamodael flani huko nje, na wewe unashepu ya kinyakyusa, itakukaa vipi!!!? Rangi tu ya alie i promote na yako ni tofauti