Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,898
- 14,413
Inashangaza wakati Waarabu weusi wengi tu tunakula naoMbuzi katoliki anasimangwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangaza wakati Waarabu weusi wengi tu tunakula naoMbuzi katoliki anasimangwa sana
Sasa baada ya kumkasirisha ,Mungu anatangaza azabu kwa wote wenye miili bila kujalisha Asilia yako niipi ,uwe.mchina,mzungu n.kKwa upande wa sayansi ya afya , nafahamu ..kilichoandikwa nikweli.
Sasa nawafunulia maandiko matakatifu
ISAYA 65:3... Mungu anawataja watu wanaomkasirisha , namoja yao nihawa wala nguruwe ...jiulize umemkasirisha mara ngapi??? View attachment 784608
Kama huna reference kutetea hoja yako ,soma kaa kimya!! .... Naamin hata Quran itakua imekataza.
[emoji33][emoji33][emoji33]Mtu anayekula noah ni sawa na cannibal.
Ukionja nyama ya binadamu hutaacha kamwe.
Wavaa kobazi wana fitna ajabu.....eti Ukimwi wa kurogwaMbuzi katoliki anasimangwa sana
Kitimoto Bei imeshuka sana mwezi huu. Why?Wavaa kobazi wana fitna ajabu.....eti Ukimwi wa kurogwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nadhani kama kungekuwa na hatari hivyo nadhani wizara ya afya, TFDA,TBS na madaktari wa mifugo wangekuwa wamesha piga marufuku, mimi naamini hata aliyefanya huo utafiti anakula mnyama kama kawaida ila ametoa huo utafiti kwasababu kila kukicha walaji wanaongezeka na bei inapanda kwahiyo katoa utafiti huo ili watumiaji wapungue na bei ishuke.Halafu sijui kwanini vitu vizuri ndio tunakatazwa na kuambiwa ni dhambi mara haramu........
Na nyama ya Ndege kama kuku, kanga, kwale nkwacha niffe tu, maana nyama ya ng`ombe siwezi kula na nnazopenda mimi ni hii noah na samaki tu,
Dogo sisi ni wa Agano Jipya.Kwa upande wa sayansi ya afya , nafahamu ..kilichoandikwa nikweli.
Sasa nawafunulia maandiko matakatifu
ISAYA 65:3... Mungu anawataja watu wanaomkasirisha , namoja yao nihawa wala nguruwe ...jiulize umemkasirisha mara ngapi??? View attachment 784608
Kama huna reference kutetea hoja yako ,soma kaa kimya!! .... Naamin hata Quran itakua imekataza.
Mahospitalini kuna kesi nyingi zaidi za magonjwa ya wanywaji bia, walaji wa nyama ya ng'ombe, mbuzi, vyakula vya wanga but non-case za walaji kitimoto.Nguruwe ana-protein nyingi sana kuliko mnyama yeyote,Hiyo ndiyo inayomfanya kuwa host wa parasite wengi zaidi kwani nyama yake ina-create conducive environment for breeding and feeding hivyo kufanya hata baada ya kupikwa au kukaangwa still kuwa possible host, kwani kuna parasite hawafi kwenye degree 100 na pengin
Rosemary Alvarez alijikuta akiwa na maumivu ya kichwa na mkono kukosa nguvu. baada ya kufanyiwa scanning ikaoneka kama ni "brain tumor", pindi alipofanyiwa upasuaji alikutwa na "mnyoo (taenia solium)" akiwa hai unakula brain yake. Chanzo hasa cha mnyoo huo ni kula nyama ya nguruwe ambayo kitaalamu anaprotein nyingi kuliko mnyama yoyote na hivyo kuvutia parasite wengi kwa mnyama huyu . Je ni watanzania wangapi wanapata uangalizi wa kugundua afya zao na wanakula nyama hii kila siku tena inayofugwa katika mazingira si salama?.
Utafiti unaonyesha ulaji wa nyama nyekundu una madhara makubwa sana kuliko ulaji wa nyama nyeupe hata hivyo watu ambao hawali nyama kabisa wako mbali sana na hatari hizi. MFANO wa nyama nyekundu ni kama.
nyama ya Ng'ombe, mbuzi nk..... Lakini kwa kua nyama pia ina faida katika miili yetu basi nyama nyeupe ni salama sana kuliko nyekundu.Hebu tuangalie madhara ya nyama kama ifuatavyo.
1. Hatari ya kupata magonjwa ya moyo:
nyama ina kitu kinaitwa lehemu kitaalamu kama cholesterol, hii hukaa kwenye mishipa ya damu ya binadamu na kusababisha damu kushindwa kupita vizuri..hii husababisha viuongo muhimu vya mwili kama moyo kukosa damu ya kutosha na kuanza kushindwa kazi. Japokua cholesterol ni muhimu kwenye mwili wa binadamu lakini inayotengenezwa na mwili inatosha hii inayoongezeka kutoka kwnye nyama ni hatari sana.[nyama nyekundu ina cholestrol nyingi zaidi]
2. Kansa ya utumbo mkubwa;
nyama nyekundu ikiliwa inakaa masaa ishirini kwenye mfumo wa chakula wa binadamu tofauti na vyakula vingine. Utafiti unaonyesha limbikizo hilo linaambatana sana na hatari ya kupata ugonjwa wa kansa ya utumbo mkubwa. Lakini madhara ya haya yameonekana kutokuwepo kwa kula nyama nyeupe.
3. Ugonjwa wa kisukari;
utafiti mpya umeonyesha kwamba watu wanaokula nyama na wasiokula nyama baada ya kufuatiliwa kwa muda wa miaka kumi mfulululizo[cohort studies}… watu wanaokula nyama wameonekana kupata ugonjwa wa kisukari sana kuliko wale wasiokula.
4. Hatari ya kupata ugonjwa wa alzheirs disease;
huu ni ugonjwa wa akili ambao huwapata watu wengi uzeeni na dalili yake ikiwa ni kupoteza kumbukumbu kabisa. Wanasayansi wanaamini protini inayopatikana kwenye nyama kwa jina la Tau and beta-amyloid huharibu mishipa ya fahamu ya kwenye ubongo na kuchangia kwa ugonjwa huu.
5. Ugonjwa wa kifafa;
minyoo inyopatikana kwenye nguruwe kitaalamu kama taenia solium hupanda mpaka kwenye ubongo na kuharibu mishipa ya fahamu ya ubongo hali ambayo husababisha kifafa kwa watu ambao hawakuzaliwa nacho kabisa. Halii hii inaweza kuzuiliwa kwa kupika nyama hiyo kwa muda mrefu sana mpaka iive.
Unene uliopitiliza; nyama nyekundu ina kiwango kikubwa cha mafuta ambacho watu wengi hula mafuta hayo kama yalivyo mfano kwenye nyama ya nguruwe.unene na kitambi ni hatari sana kwana husababisha matatizo mengi ya kiafya na kisaikolojia, vifo vya ghafla vikiwa hatari zaidi kwenye swala la unene.
6. Nyama tunazokula siku hizi sio nyama halisi tena; ukiangaliwa nyama ya kuku inayoliwa sana kwenye miji mikubwa na hotel kubwa hapa Tanzania hapa namaanisha kuku sa kisasa, zinakuzwa kwa kemikali nyingi sana ambazo ni hatari kwa mwili wa binadamu na hata ladha yake ni tofauti kabisa na kuku wa kienyeji. Lakini kwasababu wamiliki wa biashara za nyama ni watu wenye fedha nyingi sana duniani ukweli huu hufichwa.
7. Magonjwa ya wanyama husika;
miaka ya sasa dunia imekua inakumbwa sana na magonjwa ambayo yanashambulia wanyama. Yameua watu wengi na mengine hayatibiki kabisa. mfano mafua ya ndege, ugonjwa wa ukimwi ambao historia inasema ulitoka kwa kula nyama ya nyani wa porini, na ugonjwa wa ebola ambao virusi vyake huishi kwenye nyama wa popo.
8. MWISHO; nyama ya nyeupe yaani samaki, kuku, Njiwa na ndege wengine isipokuwa wanaoruhusiwa kuliwa ni salama sana kuliko nyama nyekundu kama mbuzi, ng’ombe,na wengine ni hatari sana. Na kama wewe tayari una tazizo la moyo, presha, kisukari na kansa huu ni wakati sahihi wa kuacha kula nyama nyekundu kabisa kwani hizo nyama zitakusababishia hatari kubwa zaidi.
NB;Nguruwe si nyama nyekundu ila ni zaidi ya [HASHTAG]#HATARI[/HASHTAG] kwa afya zetu, Licha ya utamu wake.
....... sio Ugomvi, ila ndio iko hivyo tu.......