Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Sasa linganisha hizo nchi za wala Kitimoto na zile ambazo hawali huyo Mdudu.Mahospitalini kuna kesi nyingi zaidi za magonjwa ya wanywaji bia, walaji wa nyama ya ng'ombe, mbuzi, vyakula vya wanga but non-case za walaji kitimoto.
Athari za walaji wa kiyimoto huwa zinapatikana kwenye nyumba za ibada pekee kuliko maeneo yanayoshughulika na afya za watu.
Nchi zinazoongoza kwa kula Kitimoto duniani
View attachment 2864207
Halafu wapime kimaendeleo na kiafya ya akili
Halafu ndio utapata Jibu sahihi sasa.