Madhara ya nyama ya nguruwe na nyama nyekundu ya kawaida

Sasa linganisha hizo nchi za wala Kitimoto na zile ambazo hawali huyo Mdudu.
Halafu wapime kimaendeleo na kiafya ya akili
Halafu ndio utapata Jibu sahihi sasa.
 
Ila mdudu bana ngoja nikaagize nusu na mchicha rost na ndizi kwanza nisome ili bandiko
 
Sasa linganisha hizo nchi za wala Kitimoto na zile ambazo hawali huyo Mdudu.
Halafu wapime kimaendeleo na kiafya ya akili
Halafu ndio utapata Jibu sahihi sasa.
Huwa hawatumii akili, wanajadili mambo kimazoea na kwa hisia badala ya logic.
 
Huwa hawatumii akili, wanajadili mambo kimazoea na kwa hisia badala ya logic.
Jana nimepiga Mdudu wangu swafi kabisa, haitoshi nikapeleka kilo moja kwa vijana nyumbani, ili niwakuze kiafya na kiakili.

Mdudu inabidi aliwe na watu wachache, la sivyo asingenunulika, Bei ingekuwa juu mno.
 
Kaka hivi huwa hamna tafiti za mnyama mwingine mna nini lkn, mnaboa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…