Madhara ya uchawa

Kwahiyo wahudhuriaji waliishia kupozwa na pilau.

Waliosombwa na magari kutoka kila wilaya ndio wakaishia kulishwa" pilau ya mama"

Nchi ina safari ndefu kama watu wanauza utu wao kwa pilau.
 
Usibadilishe kauli...Uchaguzi hatususi ila hautafanyika....No reform no election...
Wakusimamisha uchaguzi ni tume huru sio kima yeyote nchi hii mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi!
 
Ndg. sii kweli kuwa tunatumia kuni kwa kupikia vyakula vyetu vigumu, pointi ni umaskini. Huko ulaya, na sehemu zingine duniani wanavyo vyakula vigumu na wanavipika kwa hiyo hiyo gas, pia na kwa kutumia umeme. Kwao gas na umeme sii aghali kama hapa kwetu. Ni aghali kwa sababu ya ubambikiaji wa kodi lukuki za kweli na za kiutapeli.
Je, ili kutatua tatizo la kutokata miti kwa kuni, wakati huo huo tunahitaji nishati kwa matumizi mengi ktk maisha yetu hapa Tz.
Mimi napendekeza Serikali yetu ifanye yafuatayo, ama iruhusu sekta binafsi ichikuwe nafasi yake
1. Tumebshatika kuwa na milima miwili Ruvuma/Songea yaani mlima Mchuchuma na Mlima Liganga. Tuutumie ule Mlima wenye mkaa wa mawe
2. Kujengwe viwanda vya kupunguza nishati kali iliyomo ndani ya makaa ya mawe ili yaweze kutumika majumbani kama tunavyotumia mkaa utokanao na miti. )Huko ulaya walitumia sana hadi hivi juzi tu walipomaliza wizi na utapeli na gas/umeme ukawa bei poa kwa kila raia, na bado wanaendelea kutumia, huku wakitulaghai eti tuingie kwenye kundi la matajiri watumiao nishati safi! Tusihadaiwe,wao wapo ulimwengu wa Kwanza wakati sisi tupo ulimwengu wa TATU!
3. Baada ya makaa ya mawe kupunguzwa ukali wa nishati, ufungwe ktk vifungashio vya ujazo mbali mbali ili kila Manzanita amudu gharama na ifikishwe kila kona ya nchi yetu.
3. Pia tafiti ziendelee ili kupata machimbo mengine ya mkaa wa mawe, naamini tunayo mengi sana.
Tafadhali Watanzania wenzagu hebu tuwe siriazi na hili jambo, tuache ubinafsi na uchawa ili tuiokoe nchi yetu pendwa.
 
Mchongo huu ni kazi ya msanii wa Kigalisia Isaac Cordal na inaitwa "Politicians talking about climate change"....

Kazi hiyo iliwekwa Berlin mnamo 2011 na licha ya kuwa na zaidi ya miaka 12 ... bado ni halali kabisa hadi leo.
 
Gesi ishuke bei tu ,maana sehemu nyingi zilikogawiwa mitungi gesi inapoisha inageuka vigoda vya kukalia tu. Machawa wanamdanganya mama, wanampa mrejesho feki !
 
Chadema walimaaniaha "no erection* sio " no election"
 
Dah hii ni aibu aisee na kiwango cha hali ya juu kinachoonyesha umasikini wa fikra mkubwa sana kwenye jamii.

Ziara ya Rais watu wanapikiwa chakula wale, ?yaani ziara ya Rais imekuwa ni sherehe?.
Huu ni umasikini wa hali ya juu.
 
Mlo wa siku moja tu unamtoa mtu fahamu. Akiisha kula kila anachoambiwa anaitikia NDIYO.
 
Mkuu umenena kitu muhimu laiti hawa ccm wangeliona hili basi wasingethubutu kuhangaika na upuuzi huu.
Shida ya kule hawatumii akili kufikiri.... Itawezekana vipi mtu kula yake peke yake ni ya shida hiyo hela ya kujaza mtungi wa24k hata kama ni mara 1 kwa mwezi hiyo pesa kuipata ni wachache sana.

Hoja niliyo bold hapo izingatiwe sana tena tusisubiri ccm waseme tuanze mara moja ukipanda miti 10 kwa mwak na ikapita yote hiyo ni hatua kubwa ndani ya miaka5 ina miti50 sio kidogo je1 Kama ukipanda miti 50 kila mwaka?
 
Sio ccm tu, tuwe wakweli wakuu, hili taifa tuna akili ndogo. Wala sio chama, wala sio itikadi.

Binafsi naamini huenda atakuja mmoja mwenye akili kubwa, ila hatutamkubali kwa sababu tuna akili ndogo.
Ni sahihi lakini ccm wanakula kichwa. kuna hoja huwa zinatolewa kulewa unabki kujiuliza huyu mtu katumia makalio kuwaza au ubongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…