Gwallo
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 3,408
- 4,392
Usibadilishe kauli...Uchaguzi hatususi ila hautafanyika....No reform no election...Hii ni sawa hatutasusia uchaguzi lakini kura hatupigi.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usibadilishe kauli...Uchaguzi hatususi ila hautafanyika....No reform no election...Hii ni sawa hatutasusia uchaguzi lakini kura hatupigi.....
What a contradiction !!!Side effects of uchawa. Ni sawa na ziara ya her Excellence Tanga last week kuliandaliwa msosi kwa nishati ya kuni wakati promotion ni nishati safi View attachment 3258621🥺🤔🙇🏿♂😭
Lucas ana bed restLucas Mwashambwa kam this way ulijibie. 🤣🤣🤣
Wakusimamisha uchaguzi ni tume huru sio kima yeyote nchi hii mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi!Usibadilishe kauli...Uchaguzi hatususi ila hautafanyika....No reform no election...
Side effects of uchawa. Ni sawa na ziara ya her Excellence Tanga last week kuliandaliwa msosi kwa nishati ya kuni wakati promotion ni nishati safi View attachment 3258621🥺🤔🙇🏿♂😭
Gesi ishuke bei tu ,maana sehemu nyingi zilikogawiwa mitungi gesi inapoisha inageuka vigoda vya kukalia tu. Machawa wanamdanganya mama, wanampa mrejesho feki !Kila siku nawambia watu kuwa kugawa mitungi haiwezi kuwa soln ya watu kutotumia mkaa na kuni kwa sababu hata wao ina maana wameona gas ni ghali wamerudi kwenye kuni. Ukimpa mtu mtungi gas ikiisha anauza mtungi au anaweka stoo anarudi kwenye kuni zake. Solution ni gas ishuke
Kumbe , aah, eeh inawezekana !Ccm sio chama cha siasa niamini mimi
Kweli kabisa nchi imeshakuwa ya kike muda sio mrefu mabeberu wataipiga mandeNchi ya kike
Niamini mimiCcm sio chama cha siasa niamini mimi
We have very long way to go, sir.Side effects of uchawa. Ni sawa na ziara ya her Excellence Tanga last week kuliandaliwa msosi kwa nishati ya kuni wakati promotion ni nishati safi View attachment 3258621🥺🤔🙇🏿♂😭
Mkuu umenena kitu muhimu laiti hawa ccm wangeliona hili basi wasingethubutu kuhangaika na upuuzi huu.Kati ya kitu hatujui ni kwamba matumizi ya aina fulani ya nishati ya kupikia mfano mkaa au kuni au gesi au umeme yanaenda sambamba na hali ya maisha na utamaduni wa mtumiaji!
WaTanzania kimsingi ni masikini wa kipato na wengi wanapika vyakula vigumu kuiva (vinachukua muda mrefu jikoni) mfano, maharage, makande, nyama, wali n.k!
Kwa aina na mapishi ya hivyo vyakula hata mtu akiwa na umeme bado atahitaji kuni au mkaa.
Tungejikita katika kupanda miti mingi ili watu wetu wapike kwa gharama nafuu. Pili tungeboresha majiko yatumikayo ili kuni zitumike chache na moshi upungue!
Haya masuala ya gesi sijui nishati blah blah ni mchakato wa mabadiliko unaotegemea kuimarika kwa vipato vya watu!
Kumpa mtu keki/mkate wa bure leo hakumfanyi awe na uwezo wa kununua keki/mikate siku za usoni... Ataendelea kupiga pasi ndefu au atatumia anachopata kwa urahisi!
ccm isikwepe jukumu lake la msingi la kulete maendeleo chanya! Wasitafute shortcuts!
Hizo gesi mnazowapa ni teknolojia mpya kwao. Je, mnawapa na ELIMU jinsi ya kumtumia na kuitunza hiyo mitungi? Je, ikiisha mtawapa fedha za kwenda kujazia?
Ni sahihi lakini ccm wanakula kichwa. kuna hoja huwa zinatolewa kulewa unabki kujiuliza huyu mtu katumia makalio kuwaza au ubongo?Sio ccm tu, tuwe wakweli wakuu, hili taifa tuna akili ndogo. Wala sio chama, wala sio itikadi.
Binafsi naamini huenda atakuja mmoja mwenye akili kubwa, ila hatutamkubali kwa sababu tuna akili ndogo.