Madhara ya uchawa

Side effects of uchawa. Ni sawa na ziara ya her Excellence Tanga last week kuliandaliwa msosi kwa nishati ya kuni wakati promotion ni nishati safi View attachment 3258621πŸ₯ΊπŸ€”πŸ™‡πŸΏβ€β™‚πŸ˜­
Hapo bwana Mshana Jr ndio wahenga wanaelewa kuwa lengo sio kupromote nishatu bali kampeni zimeanza kwa kutumia hela za serikali. Mambo ya kupika vyakula huwa yapo sana wakati wa kampeni lakini sio ziara za kiserikali.
 
Side effects of uchawa. Ni sawa na ziara ya her Excellence Tanga last week kuliandaliwa msosi kwa nishati ya kuni wakati promotion ni nishati safi View attachment 3258621πŸ₯ΊπŸ€”πŸ™‡πŸΏβ€β™‚πŸ˜­
Duh! Hiyo si sawa. Na tatizo la kukubali sifa ni kuwa hata akikoseaje huyo mtoa sifa inakuwa ngumu kumwajibisha.
 
Kwahiyo wahudhuriaji waliishia kupozwa na pilau.

Waliosombwa na magari kutoka kila wilaya ndio wakaishia kulishwa" pilau ya mama"

Nchi ina safari ndefu kama watu wanauza utu wao kwa pilau.
πŸ₯±πŸ₯±πŸ₯±
 
Yaani miti ni vyanzo vya nishati madhubuti na ya uhakika kwa gharama nafuu sana. Miti inajirejesha yenyewe mengine bila hata matunzo!
Tatizo viongozi wetu wanafikiri vitu robo robo! Waruke wawezavyo lakini wakihitaji kupika vyakula kwa ajili ya watu wengi hakuna namna watakwepa matumizi ya kuni!
Kauli mbinu yangu:
Miti yangu, nishati yangu naipanda, naitunza na naringa nayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…