JUA ni Kali Sana
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 1,202
- 1,543
Uchawa ni LAANA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo bwana Mshana Jr ndio wahenga wanaelewa kuwa lengo sio kupromote nishatu bali kampeni zimeanza kwa kutumia hela za serikali. Mambo ya kupika vyakula huwa yapo sana wakati wa kampeni lakini sio ziara za kiserikali.Side effects of uchawa. Ni sawa na ziara ya her Excellence Tanga last week kuliandaliwa msosi kwa nishati ya kuni wakati promotion ni nishati safi View attachment 3258621🥺🤔🙇🏿♂😭
Ndicho kinachoonekanaNchi ya kike
CHADEMA ina wenye akili kina Ntobi, Yericko, MMM, Meya Jacob, Mdude na Hilda NewtonSetensi yako haijakamilka mkuu.
ccm hakuna wenye akili kule.Yaani unapinga matumizi ya kuni hapohapo wewe unatumia kuni akili gani hii?
Duh! Hiyo si sawa. Na tatizo la kukubali sifa ni kuwa hata akikoseaje huyo mtoa sifa inakuwa ngumu kumwajibisha.Side effects of uchawa. Ni sawa na ziara ya her Excellence Tanga last week kuliandaliwa msosi kwa nishati ya kuni wakati promotion ni nishati safi View attachment 3258621🥺🤔🙇🏿♂😭
Yaani miti ni vyanzo vya nishati madhubuti na ya uhakika kwa gharama nafuu sana. Miti inajirejesha yenyewe mengine bila hata matunzo!Mkuu umenena kitu muhimu laiti hawa ccm wangeliona hili basi wasingethubutu kuhangaika na upuuzi huu.
Shida ya kule hawatumii akili kufikiri.... Itawezekana vipi mtu kula yake peke yake ni ya shida hiyo hela ya kujaza mtungi wa24k hata kama ni mara 1 kwa mwezi hiyo pesa kuipata ni wachache sana.
Hoja niliyo bold hapo izingatiwe sana tena tusisubiri ccm waseme tuanze mara moja ukipanda miti 10 kwa mwak na ikapita yote hiyo ni hatua kubwa ndani ya miaka5 ina miti50 sio kidogo je1 Kama ukipanda miti 50 kila mwaka?