Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm mnatukosea sana watanzania.Ndugu makala!
1. Kwani hamteki wapinzani?
2. Hamuuwi wapinzani?
3. Hamuibi kura?
4. Hakuna kesi za kusingiziwa?
5. Hamuengui wapinzani isivyohaki?
6. WALIMU hawatumiki kuiba kura?
7. Watendaji je hawatumiki?
8. Polisi na Tiss je?
Ccm mnatukosea sana watanzania.
Mjibuni lissu kwa hoja .
Uchaguzi wa 2024 umethibitisha pasi shaka kile mtafanya 2025.
Lissu Yuko sahihi 100%
Sio UCHAWA, bali ni side effect ya gari kuendeshwa na dereva kipofu. Decision zote anategemea watu wengine.Side effects of uchawa. Ni sawa na ziara ya her Excellence Tanga last week kuliandaliwa msosi kwa nishati ya kuni wakati
Akili za samakiSetensi yako haijakamilka mkuu.
ccm hakuna wenye akili kule.Yaani unapinga matumizi ya kuni hapohapo wewe unatumia kuni akili gani hii?
Kumbee!Kuwa ccm pekee ni janga
Kila siku nawambia watu kuwa kugawa mitungi haiwezi kuwa soln ya watu kutotumia mkaa na kuni kwa sababu hata wao ina maana wameona gas ni ghali wamerudi kwenye kuni. Ukimpa mtu mtungi gas ikiisha anauza mtungi au anaweka stoo anarudi kwenye kuni zake. Solution ni gas ishuke
Duuh maneno na Matendo,kama mbingu na Ardhi!Havikamatani.
Setensi yako haijakamilka mkuu.
ccm hakuna wenye akili kule.Yaani unapinga matumizi ya kuni hapohapo wewe unatumia kuni akili gani hii?
Kati ya kitu hatujui ni kwamba matumizi ya aina fulani ya nishati ya kupikia mfano mkaa au kuni au gesi au umeme yanaenda sambamba na hali ya maisha na utamaduni wa mtumiaji!Side effects of uchawa. Ni sawa na ziara ya her Excellence Tanga last week kuliandaliwa msosi kwa nishati ya kuni wakati promotion ni nishati safi View attachment 3258621🥺🤔🙇🏿♂😭
Jibu Sasa, Uchawa!Nimefika tayari
Chawa hawawezi lielewa hili mkuu. Kawaida ya chawa kutokuelewa.Kila siku nawambia watu kuwa kugawa mitungi haiwezi kuwa soln ya watu kutotumia mkaa na kuni kwa sababu hata wao ina maana wameona gas ni ghali wamerudi kwenye kuni. Ukimpa mtu mtungi gas ikiisha anauza mtungi au anaweka stoo anarudi kwenye kuni zake. Solution ni gas ishuke
Rais wa kikeNchi ya kike
Sasa hizo gesi mnagawa za nini mkuu....halafu acha ushamba hakuna kisichoweza kupikwa kwa gas.Huwezi kubanika wali au pilau kwa gesi!
Acheni UCHADEMA hata kwa jambo la wazi.
Alaa!... Kumbe?Side effects of uchawa. Ni sawa na ziara ya her Excellence Tanga last week kuliandaliwa msosi kwa nishati ya kuni wakati promotion ni nishati safi View attachment 3258621🥺🤔🙇🏿♂😭
😅😅😅Kuwa ccm pekee ni janga