Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuogopi kufa binadamu huwa wanaogopa kuteseka kama wewe huogopi kutesa kwa maradhi ya Kansa ukimwi,kisukari, Maradhi ya moyo na maradhi mengine ya hatari basi hakuna haja ya wewe ku comment Post yangu kunywa Soda kunywa soda kwa raha zako utakapo patwa na maradhi ya ajabu utakwenda Hospitali Madaktari wapo watakutibu. Huu ni ushauri nimewapa marafiki zangu ninawajali afya zao sio wewe usiye jijali afya yako.Mwisho wa siku nitakufa tu
Ni suala la muda
Kula matunda Fresh tengeneza mwenyewe nyumbani juisi ya matunda yatakulinda afya yako dhidi ya maradhi na pia matunda ni tiba ya maradhi mengi tu.Kwahiyo tunywe nini mkuu?
Asante sana mtoa mada,basi tuletee na mada inayotupa umuhimu wa kula nguruwe na white meat zingine.View attachment 473413
HIZI NDIO SABABU KUMI KWANINI UACHE KUNYWA SODA KWANZIA LEO.
inawezekana una bahati sana kuiona hii makala na itakujenga sana kiafya...tafiti zinasema kwamba mtu mmoja anayekunywa soda moja kwa siku, anakunywa zaidi ya galoni au dumu 56 za soda kwa
mwaka. japokua kuna watu wamekiri kunywa hata zaidi ya soda moja kwa siku amabayo huenda wanakunywa zaidi ya hicho kipimo. biashara ya soda inalipa sana duniani kwani ni kinywaji cha pili
kinachoongoza kunywewa duniani baada ya maji.
sasa ukiangalia mahusiano ya unywaji mdogo wa soda kila siku kiafya una madhara makubwa kuliko unywaji mdogo wa pombe kila
siku. yaani ni bora unywe chupa moja ya bia kila siku kuliko chupa moja ya soda kila siku. yafuatayo ni madhara ya soda ambayo yatakufanya ufikirie mara mbili kunywa soda tena.
1.ugonjwa wa kisukari; kunywa soda moja ni sawa na kunywa vijiko 10 vya sukari, baada ya kunywa sukari hupanda sana mwilini na kongosho hutoa homoni ya ili insulini nyingi kushusha sukari. muda unavyozidi kwenda insulini huendelea kuishiwa nguvu[insulin resisitance] na hali hii husababisha kisukari.
2. unene na kitambi; utafiti ulofanywa na chuo kikuu cha havard umegundua kwamba watu wanaokunywa soda hunenepa mara mbili zaidi ya wale ambao hawanywi hivyo kama uko busy unapunguza uzito na pia mnywaji wa soda basi unapoteza muda.
3. upungufu wa madini muhimu mwilini; soda ina kemikali inayoitwa phosporic acid ambayo huzuia mwili kuchukua madini ya calcium kwenye chakula ambayo ni muhimu sana kwa ajili ya mifupa na misuli yenye afya kweye mwili wa binadamu.
4. ugonjwa wa kansa; soda ina kemikali inayoitwa caffeine ambayo imehusishwa na cancer mbalimbali za mwili mfano kansa ya kongosho, kansa ya utumbo na magonjwa mengine kama presha ya damu na kansa ya matiti.
5. huongeza sumu mwilini; soda haina lishe wala faida yeyote ile kwenye mwili wa binadamu hivyo huongeza kiasi kikubwa cha sumu mwilini ambacho ni hatari sana kwa afya mtumiaji.sumu hizo huongeza hatari ya kupata ugonjwa wa presha, na kuua figo.
6. hubadilisha rangi ya meno; kila mtu anataka kua na meno masafi na meupe lakini baadhi ya soda zina kiasi kikubwa cha tindikali ambacho hushambulia na kuharibu meno kwa muda mfupi.hivyo kama unasumbuliwa na meno basi huu ni muda mzuri wa kuachana nayo.
7. addiction; soda nyingi zina tabia ya kumfanya mtu apate ulevi wa soda husika yaani kuna watu unakuta anapenda sana soda fulani na asipoinywa kwa siku atahisi kama amepungukiwa kabisa na kitu fulani mwilini.hii itakufanya uwe mtumwa wa mwili wako mwenyewe.
8. huongeza kasi ya uzee; sumu ambazo unazipokea kwenye soda zinazeesha mtu mapema sana yani kijana mdogo wa miaka 20 hujikuta anaonekana kama miaka 35.
9. hupunguza sana maji mwilini ; soda ina kiwango kikubwa cha madini ya sodium ambayo humfanya mtu abaki na maji kidogo na kwa muda mrefu atapata matatizo mengine ya kiafya kama mawe ya kwenye figo[kidney stone] na mawe kwenye nyongo ya binadamu.
10.mwisho; ni vizuri kubadili mfumo wako wa maisha na kuanza kunywa vitu haviharibu mwili yaani badala ya kunywa soda basi tumia juice ambayo ni mbadala mkubwa wa soda, lakini pia unaweza kunywa maziwa na kadhalika.
Siachi ng'ooo!View attachment 473413

Mtoto wako mpe Soda lakini umeshajuwa madhara yake atakapo umwa na maradhi utajuwa wapi pa kumpeleka.Sasa katoto kangu huwa kila siku kanafungua friji kananiambia Baba nataka choda nitakazuije sasa.!?
Matunda yenye nayo mikemimo kibaoo, sasa tukimbilie wapi?Kula matunda Fresh tengeneza mwenyewe nyumbani juisi ya matunda yatakulinda afya yako dhidi ya maradhi na pia matunda ni tiba ya maradhi mengi tu.
View attachment 473418
Samahani kama nimekukwaza Kwa namna yoyote ile broHatuogopia kufa binadamu huwa wanaogopa kuteseka kama wewe huogopi kutesa kwa maradhi ya Kansa ukimwi,kisukari, Maradhi ya moyo na maradhi mengine ya hatari basi hakuna haja ya wewe ku comment Post yangu kunywa Soda kwa rahazako utakapo patwa na amradhi ya ajabu utakwendaHospitali Madaktari wapo watakutibu. Huu ushauri nimewapa amrafiki zangu ninawajali afya zao sio wewe usiye jijali afya yako.
mkuu MziziMkavu naomba nitoke nje kidogo ya mada. nataka unisaidie kidogo kujua umuhimu wa water therapy hasa mtu unapokunywa mapema asubuhi, je unaizungumziaje water therapy?Kula matunda Fresh tengeneza mwenyewe nyumbani juisi ya matunda yatakulinda afya yako dhidi ya maradhi na pia matunda ni tiba ya maradhi mengi tu.
View attachment 473418
Kula bia broKwahiyo tunywe nini mkuu?
Nguruwe sio white meat.Asante sana mtoa mada,basi tuletee na mada inayotupa umuhimu wa kula nguruwe na white meat zingine.
Hapa sipo mahali pake nilisha weka hiyo faida ya kunywa maji ya Uvuguvugu nikiipata link yake nitakupa mkuu.mkuu MziziMkavu naomba nitoke nje kidogo ya mada. nataka unisaidie kidogo kujua umuhimu wa water therapy hasa mtu unapokunywa mapema asubuhi, je unaizungumziaje water therapy?