Madhara ya unywaji wa soda kwenye afya ya Binadamu

Mwisho wa siku nitakufa tu

Ni suala la muda
Hatuogopi kufa binadamu huwa wanaogopa kuteseka kama wewe huogopi kutesa kwa maradhi ya Kansa ukimwi,kisukari, Maradhi ya moyo na maradhi mengine ya hatari basi hakuna haja ya wewe ku comment Post yangu kunywa Soda kunywa soda kwa raha zako utakapo patwa na maradhi ya ajabu utakwenda Hospitali Madaktari wapo watakutibu. Huu ni ushauri nimewapa marafiki zangu ninawajali afya zao sio wewe usiye jijali afya yako.
 
toka enzi kabla hata hizo juice hazipo soda ilikuwepo,FANTA NA KOKA,babu na bibi yangu wanadai hicho kinywaji nao wamekuwa wakikitumia na hawajawahi kupata madhara yeyote,mimi naona acha tunywe tu hakuna namna,sawa ina madhara according to utafiti wako,ila tukiwa tunaishi kwa tafiti kwa kila kitu basi mwisho wa siku tutakufa na njaa,mimi maishani mwangu sijawahi kumuona muathirika wa soda,sitoacha kuinywa pepsi,tena ikiwezekana hata kumi kwa siku,tuache tuishi maisha yetu na wewe ishi yako sababu yote na yote mwisho wote tutakufa tu....
 
Asante sana mtoa mada,basi tuletee na mada inayotupa umuhimu wa kula nguruwe na white meat zingine.
 
Siachi ng'ooo!
 
Je soda ambazo hazina sukari?!....mm nakunywa diet pepsi au coca zero


Kila siku nafanya mazoezi....kisa cha kuacha kunywa soda za sukari ni kwa sababu katika familia yetu ugonjwa wa sukari upo sn hata baba yangu kafariki kwa sukari....mm nikaamua kupunguza uzito sn na kuacha kunywa soda,je hizi soda ambazo wanasema hazina sukari zina madhara pia maana kila siku nakunywa 1
 
Samahani kama nimekukwaza Kwa namna yoyote ile bro
 
kila kitu kina madhara hata hayo maji. mwisho ni kufa tu kama wengine. why pasua kichwa.
 
Kula matunda Fresh tengeneza mwenyewe nyumbani juisi ya matunda yatakulinda afya yako dhidi ya maradhi na pia matunda ni tiba ya maradhi mengi tu.

View attachment 473418
mkuu MziziMkavu naomba nitoke nje kidogo ya mada. nataka unisaidie kidogo kujua umuhimu wa water therapy hasa mtu unapokunywa mapema asubuhi, je unaizungumziaje water therapy?
 
Kila kitu kilizidishwa ndio tatizo
Kunyweni soda kama kawaida lakin usizidshe.
 
Bia moja ni 2000 tsh....kwa mwezi tsh 60000 na ninavyojua ukianza kunywa ukazoea huwezi kunywa bia moja tu kwa siku.....Bora soda bana utaokoa pesa na utafanya mazoezi usipate kisukari.
 
Kuna rafiki yangu mmoja mwuza mitumba anasema awali alikuwa anakunywa soda aina ya Sprite mara tatu kwa siku baada miezi mitatu alihisi haja ndogo mara kwa mara, viungo vinalegea. Alipopima akakutwa anakisukari ambayo sahivi ni mwaka wa 3 anapambana nayo kwa miti shamba lakini hakijapona. Mwili umeisha hadi nywele zimenyonyoka pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…