Madhara ya unywaji wa soda kwenye afya ya Binadamu

Asante.
 
Hivi kuna faida kweli? sijui....
mkuu, mi naona hakuna hata moja. Nasikia pia ni sera yao wenye viwanda hivi kutisha watu wanaoandika habari kama hizi, mi sijui lini nitakufa na wala hakuna anayejuwa lini atakufa, kwanini watu wateseke kwa sababu ya HELA?, Mara utasikia kansa ya matiti tuchangie wakati hawaelezi chanzo chake ni nini. ikiwa mtu ataweza kuachana na soda, juisi yeyote ya kiwandani, chai ya rangi, kahawa, pombe na sigara itakuwa ngumu kwake kuuguwa. Tunapaswa kuungana na kuongea sote kwa pamoja kwa manufaa ya vizazi vijavyo. nitarudi
 
Mzizimkavu kamtuma fadhili paulo nadhani umemuelewa! Mi ndo maana najinyweaga wine !!
Wine ukiiweka mdomoni haikeri sana kama bia au pombe zingine kali. LAKINI WINE NI POMBE, na wine nyingi alcoholi yake inaanza na 11 wakati bia nyingi ni chini ya 6. achana na pombe mkuu, kunywa maji, maji ni uhai
 
Nina 'bahati' kuwa sijawahi kutumia kilevi chochote na sitegemei kutumia..Kwanza huwa naviona kama 'vinanizidi umri!'
Halafu kwenye ile orodha nilisahau kuweka chai na kahawa, nakomaa na soya na juice za matunda fresh.
bila shaka yeyote utakuwa SUPA sana. Hongera mkuu, fundisha watoto na jamaa zako pia
 



jumaaaaaaaaa ile iliokuwa kwenye fridge embuu ukifika kesho ondoaa kabsa kabsaaaaaaaa sikia juma
asieeeeeee sinywi tenaaaaaa..alafu unajua ni kapepo fulan fwatilia sana kuna watu asbh soda mchana soda saa nne soda usisku soda wakipita njian soda...binafsi kalinitesa saan sana sasa niemanza kukakontrol natembea na maji nikisikia kiu nakunywa alafu wansema kanounguza ile mambo yetu ya kiume ingawa akakunifikia mimi basi uliembioni na soda jua hili uamue moja hamia kilimanjaro drinking water ama baki na soda zako
 
Hongera mkuu, siyo pepo mkuu, kumbuka kuna madawa ya kulevya ndani yake, kwahiyo mtu anakuwa addicted kwa sababu caffeina ni dawa ya kulevya kundi la stimulant drugs, biology kidato cha tatu tulifundishwa hivi. Ndiyo maana muda mwingi mtu atataka kunywa soda kama ilivyo kwa mvuta sigara, bangi au dawa nyingine ya kulevya, kwahiyo PEPO hahusiki kabisa. lazima nguvu za kiume zitakupunguwa tu ukiwa ni mlevi wa soda kwa kuwa ''matumizi ya soda zenye kafeina kwa watu wasiofanya mazoezi lazima yatapelekea kuongezeka uzito, kwa kuzunguka, unywaji wa soda unasisimua kula zaidi sababu ya ubongo kulazimishwa kutumia hifadhi zake za nguvu''. http://maajabuyamaji2.artisteer.net/
 

Dah! Basi hatari, hadi nguvu za kiume zinahusika!
 
Sasa wale wa soda 2amie maji ya kisima jamani maana hata maji yale ya wiandani yana madhara pia kama vp 2muachie Mungu 2 jAMANI 2punguze kuweka RISK mbele jamani la sivyo hatutaishi kwa furaha.
 
Kutokana na kutotumia kilevi cha aina yoyote, nimejikuta nikiwa ni mnywaji mzuri wa soda ila sijui madhara yake mwilini.
Ni madhara gani ya soda mwilini?? na nini faida zake mwilini.
Je unajua? kila chupa ya kawaida ya Soda kama Coca cola na Pepsi cola ina vijiko 14 vya sukari. Au kwa kipimo kingine usawa wa sukari iliyomo ndani ya kila chupa ya soda ni theluthi moja ya glasi ya kawaida!! Soda sio nzuri kutumia jaribu kula matunda fresh sio soda Mkuu .
 
Sasa wale wa soda 2amie maji ya kisima jamani maana hata maji yale ya wiandani yana madhara pia kama vp 2muachie Mungu 2 jAMANI 2punguze kuweka RISK mbele jamani la sivyo hatutaishi kwa furaha.
mkuu mi nafikiri ndo tutaishi kwa furaha kwakuwa aware navyo itapunguza safari za kwenda hospitali, kwa sisi bado vyakula vya asili vinapatikana, kwa mfano kunashida gani ukinunua mwenyewe mahindi na kusaga dona badala ya kula sembe ambayo haina kitu?, ni uamuzi tu. sidhani kama mungu anapenda sisi tuuguwe uguwe kila mara ndiyo maana kuna maandiko yanasema ''watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa''.
 
Kutokana na kutotumia kilevi cha aina yoyote, nimejikuta nikiwa ni mnywaji mzuri wa soda ila sijui madhara yake mwilini.
Ni madhara gani ya soda mwilini?? na nini faida zake mwilini.

mtoto mzuri wewe hutumii vilevi.
 
Mambo yote kwenye Google.
offcourse, bali usi-google mara moja na kutoka na jibu, ukiona site kama 10 zinasema the same thing basi na wewe utaanza kuoanisha ukweli maana katika google nako kuna mislead nyingi
 
DANGER OF COKE & PEPSI (SOFT DRINKS)
.kwa wale wapenzi wa kunywa soda za coke/pepsi jua kwamba:-
1) kwa kusafishia vyoo.
Mwaga coca cola katika dishi ya chooni, acha kwa muda wa saa 1 kisha mwaga maji, citric asid ya coke itaondoa uchafu bila ya kusugua wala kutoa jasho.
2) kwa kuondoa kutu kwenye bampa/ ngao za magari zenye madini ya chrome.
Chukua kipande cha foil ya aluminiam kilichotumika kizamishe kwenye cocacola kisha sugua bampa. Nafikiri itakuwa ni rahisi na utaokoa pesa kuliko kwenda kununua dawa yakusugulia dukani.
3) kwa kuondoa uchafu kwenye taminali za betri za magari.
mwaga cocacola kwenye taminali na taminali zitachemka na kuondoa uchafu
4) kufungua bolt iliyofanya kutu
chovya kitambaa katika bakuli yenye cocacola kisha weka kitambaa hicho kwenye bolti iliyofanya kutu kwa dakika chache kutu itaondoka na bolti itafunguka
5) kuondoa grisi na oili kwenye nguo
mwaga chupa ya cocacola kwenye nguo zilizoingia grisi/oili tia na sabuni ya kufulia ya unga kisha fua kama kawaida grisi/oili itaondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…