Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
kwa hiyo hunywi kabisa? Nifanyeje ili niache? Niliambiwa konyagi inasaidia ku loose weight, kumbe si lolote, nimenenepa zaidi sasa nina 83 kg, jamani! Halafu kuiacha imekuwa taabu
Tatizo unakunywa konyagi na minyama ya kuchoma. Tandika mzinga mmoja wa konyagi na mlo mmoja kwa siku uzito utapungua tu!