Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo hunywi kabisa? Nifanyeje ili niache? Niliambiwa konyagi inasaidia ku loose weight, kumbe si lolote, nimenenepa zaidi sasa nina 83 kg, jamani! Halafu kuiacha imekuwa taabu
iliyobaki ni kunywa maji tu!
ivi hizo gram 15 za sukari kwa siku nitazipimaje?, manake wanadai eti hata katika ugali,wali kuna sukari. sasa je nitabalance
vipi ili nipate hizo gram 15? mi kwa siku nala ugali,wali, ndizi, chai, matunda/juice, nk. vyote hivi eti vina sukari. sasa nitabalance
vipi ili nipate hizo gram? maoni yangu: acheni kucomplicate maisha. soda zinywewe tu kama kawa. mi nakumbuka
nikiwa mdogo nilikuwa nalamba sana sukari....lakini hamna kisukari wala kichumvi.
Ukita ufanikowe kaa mbali na soda. Usinunue na kuweka ndani maana utarahisisha upataji pale unapotamani, ila kama huna na maduka yako mbali/yamefungwa ukitamani unakinywa maji/juice au matunda basi siku inapita.Kesho yake ushasahau.
je soda nikichanganya na konyagi si itakuwa haina madhara?
Jamani sasa tunywe nini?
Hebu tuache maskhara bwana! uache soda unywe nini sasa? Hapa nilipo tayari neshatamani coke bariiiiiiidi, e bwana eeeh!
tunywe bia???
Kwani soda ndio kinywaji pekee duniani?
Kunyweni maji, chai, maziwa, kahawa na juisi fresh.
I know, ila kama ikinywewa kwa kiasi faida zake zinazidi hasara.mbona hata kahawa ina madhara au hujaskia hiyo lizzy?
Kwani soda ndio kinywaji pekee duniani?
Kunyweni maji, chai, maziwa, kahawa na juisi fresh.