Madhara ya unywaji wa soda kwenye afya ya Binadamu

Madhara ya unywaji wa soda kwenye afya ya Binadamu

Pana hitajika nguvu ya ziada hili elimu hi imfikie kila Mtanzania.Madhara ni makubwa.
 
Mzizi,thanxs for this useful post!naombe nijuze zaidi tips ambazo mvuta sigara anaweza fuata ili aweze acha kuvuta!what could be the altenatives to be used instead?
Kuna utaratibu wa kuacha kutovuta Sigara lakini nakushauri uende hospitali ukamuone Dakatari atakupa ushauri zaidi .
 
Mzizi,thanxs for this useful post!naombe nijuze zaidi tips ambazo mvuta sigara anaweza fuata ili aweze acha kuvuta!what could be the altenatives to be used instead?
Kuna utaratibu wa kuacha kutovuta Sigara lakini nakushauri uende hospitali ukamuone Daktari atakupa ushauri zaidi .
 
Mzizi asante sana kwa post hii...saaaasa jamani vipi kuhusu soda zisizokuwa na sukari kama light coke au zero coke?
Soda ni soda hata kama ipo Light Coke au zero coke mradi ikiwa ni soda ina madhara yake makuu Bibie JS.
 
Habari za online wadau?Poleni na majukumu.Naomba kuuliza, Soda ina faida na hasara gani katika mwili?Ofisini kwetu huwa tuna-kuwa na soda karibu kila siku, tayari mi napata mashaka.Hivi ninaathirika vipi na hizi lita za soda kila siku?Asanteni!
 
Nimefungua ila hajaweka madhara mengi nadhani kaweka baadhi tu ya madhara naomba mengine
 
Back
Top Bottom